Watu wa humu wengi mnashadaddia mambo bila kuyatafakari,mnaona kuwa mtu ni pesa sijui kulipa ada ni bonge la dili,mtu amesema alipata accommodation kwa jamaa,yeye na watoto wake kwa zaidi ya mwaka unafikiri ni kitu kidogo.Haya bi Dada anakiri kabisa hawezi kumfulia hata boxer jamaa Wala kumpikia mnaona siyo Dili Dili ni vipesa vyake.Ni Nani leo akupokee wewe na watoto wako halafu ushindwe hata kumfulia? Haya huyo Dada inaonekana hafai kukaa na mume,ndoa yake ya kwanza ilimshinda mpaka anakuja humu kuomba ushauri wa talaka,baadaye mume alimkimbia na kuna madai kwamba ulimuua mumewe.Leo anasema ashamkinai jamaa halafu bado anakaa kwake Nina wasiwasi atakuja kumuua jamaa.Mwanamke kuna sifa za kumfanya awe mke,moja ni uvumilivu na kutunza Siri za chumbani,huyu ndugu yetu Hana hata Moja.Endeleeni kumdanganya na kuamini uongo wake,ukimfuatilia ni mtu wa hovyo tuu ndo maana akikosolewa anatukana matusi ya nguoni halafu humu majitu yana mshadadia.Ukiandikacho ndo hicho kilichoko ndani yako,huyu binti ni tatizo na majivuno kuna na atakuwa mhaya huyu.