Juliusmujungu
Senior Member
- Mar 21, 2020
- 115
- 104
Tumekuskia mkuu,Mua auwezi ikaitumia kama mkongojo opo siku itautafuna tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona Tatizo ni kwa watu wengi.. aiseeKabisa... na hapo hujui tabia zake, what if siku akaamua tu kukukomoa makusudi kuambukiza watoto kwa tofauti za kibinadamu? Mimi nilimpata mmoja na hakumaliza wiki nilimrudisha walificha hawakusema lakini katika pekua nikakuta vidonge