Tahadhari: Lifts(Elevators) zinaweza kuua!

Yaani hata sikumbuki vizuri best, niliishia pale mchumba wake anamsisitiza aende akatibiwe sina hakika kama niliendelea zaidi ya pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichotokea pale kipindi Tiga anakoga jamaa akampigia Dk. Martine Lundi muongo, Tiga natoka bafuni anamkuta wanamlizia kuelekezana nyumba. Alichofanya alikuwa mpole Martine alivyoingia kukatokea sintofaham baada ya Tiga kuwasha ile swich ya feni mbovu na umeme ukakatika akapata upenyo wa kutoroka! Mchumba wake aliazawadiwa risasi kwa ghadhabu kutoka kwa Dk Lundi ila alifia hosptl. Sorry, (@) inahusika hapa. Kitafuta mkuu. Jamaa aliandika sana mle!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia j3 ni ngazi kwa kwenda mbele hadi ghorofa ya 3, wanaoenda namba 8 watajijua, nimeogopa mweee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hauhitaji maandishi mengi kunifahamisha.Nimekuandikia kuna mmoja mtunzi halafu mwingine muigaji.Wake up boy!Sneezing,?
 
Ngoja nitafute mkwanja nikisake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni story ya kutunga, Kwa sasa hakuna rift yenye system umeme ukizima na yenyewe inasimama au kama ina tatizo lift haifungi milango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha 2012 nikiwa intercontinental hotel Adis Ababa lift ilinizimikia ghorofa ya 8.Bahati nzuri lift zao ni za wazi na za vioo hata hivyo walio chini wanakuona.Nikaona kitufe cha emergency nikabonyeza king'ora kikalia sana kuwaona watu chini wanapiga kelele nisaidiwe.Baada ya chini ya dakika mbili nikaona ninashushwa ghorofa ya saba mlango unafunguliwa na mafundi.Kutoka wakaniomba radhi nikapewa dola 20 kama samahani.
Nilichoshangaa umeme ulikatika king'ora kililizwa na nini kuulizia wakaniambia umeme ukikatika emergency button ina umeme wake mbadala ndio unasababisha king'ora kilie.
BONGO TUJITAFAKARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku tulikua semina dodoma ilifanyikia chuo cha mipango, ile asubuhi tumejazana kwenye lift kwenda juu kufika floor ya 8 ikagoma ikaazaa kurudi chini kwa kasi ikafika mahari ikasimama tuliganda pale kama dk 5 na milango haifunguki, vilio vya kina dada vilitawala mle ndani ikabidi tuwe tunawatuliza maana joto lilikua kali na hewa inapungua hadi mafundi walipokuja, kuanzia siku hiyo kuna watu waliamua wawe wanapandisha ngazi hadi floor ya 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wanavyotengeneza hamna namna ya kupata natural air in normal way. Kiasi kwamba hata umeme ukizima watu wataelendelea kupata hewa wakati wanasubiri msaada. Au technologia yao lazima iwe totally closed!!

Mwenzenu Mara ya kwanza na mwisho kupanda lift ilikuwa March 2013 sujawahi tamani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbavu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…