Uwe ni mwana CCM au Chadema au usiye na Chama ni vyema utambue kuwa Tanzania inabadilika na rais wetu hatataka kuendekeza ujinga Wala upumbavu ktk ujenzi wa nchi yetu.
1. Kwa wale mliokuwa mmezoea kukimbilia mahakamani na kuidai serikali fedha kijingakijinga na kulipwa fidia za kuliangamiza taifa kama vile dowans sasa mmefika mwisho wenu.
2. Kwa mahakimu wasio wazalendo wajiandae kung'ooka.
3. Wafanya biashara matapeli na wasio waaminifu mjiandae.
4. Wanasiasa matapeli mjiandae.
5. Watumishi wa umma wazembe na wasio na weledi mjiandae.
Kwa haya machache tumeshuhudia nchi yetu ikifisidiwa na wajanja wachache ambao sasa wamefika mwisho wao.
Nasema:
TUACHE MOYO USUKUME DAMU NA SI VINGINE.