Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,359
- 15,412
Mi simu yangu sijaweka pattern kabisa, ila;
1. apps zote, isipokuwa chache sana hazitumiki bila password. Ingiza password, ndio utumie.
2. MTU akitaka kuingiza password na akakosea zaidi ya Mara tatu, atapigwa picha ya Siri na nitatumiwa kwenye gmail yangu.
3. Simu ikiokotwa au ikipotea, Nina uwezo wa
kuikomandi ikiwa ni pamoja na kulock nk.
4. Pia MTU akiniibia, nitajua aliko, tena hatakuwa na uwezo wa kuweka line yake, akiweka tu atapata ujumbe Kuwa simu imepotea au kuibiwa, awasiliane name Mimi kupitia..............
5. Kizuri zaidi, smartphone imenirahisishia, ile habari ya kupoteza majina haipo tena, pia msg au memory kwa ukubwa was 2gb haipo. Naweza kurudisha kila kitu kama simu itatumbukia baharini.
KWA UFUPI MMILIKI WA SMARTPHONE NI MMOJA TU.