Tahadhari kwa watumiaji wa simu.

Tahadhari kwa watumiaji wa simu.

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
TAHADHARI KWA WATUMIAJI SIMU
ZA MKONONI:
Simu zinatumia Mionzi ya
MICROWAVE ambayo huwezesha
kuunganisha simu yako kwenda
kwenye Mnara na mnara
huunganisha Simu yako na
Mitambo
ya Mtandao wako ambapo pia
Hurudishwa kwenye mnara hadi
kwa
mtu Unaye mpigia. Microwave
ndio
njia kuu ya muunganisho huo.
Lakini
kunamdhara mengi mtu
huyapata
kutokana na kuwa karibu na
Mionzi
hiyo ambayo hadi sasa bado
haijafahamika ni kwa kiasi Gani.
Uchunguzi umeonyesha kuwa
kuna
madhara mengi ya kiafya
tunayapata
kutokana na Matumizi ya simu.
mfano wa magonjwa hayo ni
1. KUUMWA KICHWA MARA KWA
MARA
2. PRESSURE YA KUPANDA NA
KUSHUKA
3. UVIMBE KWENYE UBONGO
4. KANSA
5. ALZHEIMER
6. NA MENGINE MENGI
Hatuwezi kujizuia kutumia simu
na
Hatuwezi kuzuia hiyo mionzi ya
MICROWAVE sababu ni sehemu ya
shughuri zetu za kila siku ila
tunaweza KUPUNGUZA. hapa
nawaletea Njia chache za
kupunguza
Mionzi ya MICROWAVE isituletee
matatizo makubwa zaidi.
1. Punguza matumizi yasio lazima
ya simu.Mfano Ongea mda mfupi
kwa kutumia simu sio muda
mrefu uweunaongea, Uchunguzi
umeonyesha kuwa ukiongea
kwa
DAKIKA mbili haileti madhara,
(Alter natural electricity of the
Brain)
2. Watoto wasiruhusiwe kutumia
Simu bali pale tu inapobidi.
3. Usitumie Earphone za wire,
Tumia
za wireless mfano za bluetooth.
za
wire zinaongeza wingi wa
mionzi
sababu pia zinatumika kama
antena ya simu,
4. Usiweke simu kwenye Mfuko
wa
suruari au shati au
kiunoni,sehemu za mwili
zinapitisha mionzi vizuri zaidi
sababu pia ni njia ya neva za
ubongo na chini ya mwili.
5.Usitumie simu kwenye chumba
kidogo au lift au gari. Sababu
Simu itatumia nguvu nyingi
kuvuta mionzi ili kuwezesha
mawasiliano.
6. Ukipiga simu subiri hadi mtu
apokee ndipo uweke sikioni
kusikiliza na sio wakati ina
connect.
7. Usipige simu kama network
ipo
chini au signal inaonyesha bar
moja au ndogo, simu itavuta
mionzi zaidi ili kufanya
mawasiliano
8. Ukinunua simu hakikisha
unasoma kama ina LOW SAR
(Specific Absorbtion Rate) Ni
kipimo cha kupokea mionzi ya
simu.Za nokia zinazo ila za
Kichina HAZINA.
9. Tumia vifaa vya kupunguza
Mionzi vinapatikana madukani
(vinawakawaka taa hivi)
10.Weka simu atleast 3.4 inches
kutoka kwenye sikio
11. Jitahidi kutumia headphones
muda
wote unapotumia simu
12. Tumia speaker
phone."Loudspeaker "
13. Text zaidi kuliko kupiga
simu .
14. Jitahidi usitumie muda
mwingi
kwenye simu kama umeiweka
kwenye
sikio
15. Jitahid kuiweka mbali na
reproduction
organs zako hasa kwa wanaume
ambao hatujapata watoto.
16. La mwisho kula vizuri
ilikuongeza
kinga ya mwili
 
Vp internet ya simu,natumia sana.ntapata madhara yapi?
 
"3. Usitumie Earphone za wire,
Tumia
za wireless mfano za bluetooth.
za
wire zinaongeza wingi wa
mionzi
sababu pia zinatumika kama
antena ya simu,"

dah mkuu situta kufa wengi kwa hali hii
 
Mpaka sasa haujapatikana uthibitisho wa mahusiano ya simu na aina zozote za kansa.
American National Cancer Institute said:
Although there have been some concerns that radiofrequency energy from cell phones held closely to the head may affect the brain and other tissues, to date there is no evidence from studies of cells, animals, or humans that radiofrequency energy can cause cancer.
It is generally accepted that damage to DNA is necessary for cancer to develop. However, radiofrequency energy, unlike ionizing radiation, does not cause DNA damage in cells, and it has not been found to cause cancer in animals or to enhance the cancer-causing effects of known chemical carcinogens in animals.
Source: http://www.cancer.gov/cancertopics/factsheet/Risk/cellphones
 
duh masharti magumu haya ila fresh kwa kutujuza
 
Mpaka sasa haujapatikana uthibitisho wa mahusiano ya simu na aina zozote za kansa.

Mkuu ukumbuke kwamba wafanya biashara/wategenezaji wa simu za mikononi wana ushawi mkubwa sana, kwa hiyo usitegemee kupata ripoti ambayo inakinzani na manufacturers wa simu za mikononi. Cha muhimu hapa ni kwamba mawimbi ya microwave ni hatari sana kwa hiyo tunapashwa kuwa wangalifu katika matumizi ya simu za mikononi, mawimbi ambayo yanatumika kutuma na kupokea simu ndiyo hayo hayo yanayo tumika kwenye microwave ovens ingawa ya ovens power yake ni juu kuliko ya simu.

Niliwahi kushudia test ya kuangalia jinsi ubongo ulio karibu na sikio unavyo react wakati unazungumza au kupokea simu, majaribio hayo waliweka jelly ambayo inafanana sana na brain tissue, wakafungia simu kwenye Beaker - walipo jaribu kupiga/kupokea simu tuliona jelly ilionekana kuvibrate na kuonyesha aina fulani ya joto walipo tumia infrared camera ku-record kilicho kuwa kinaendela ilionekan ni kweli joto linakuwa generated. Toka siku hiyo simu hizi nazitumia kwa uangalifu mkubwa sana, na familia yangu niliwahi kuwasimulia experiment hiyo na wao wako makini na simu hizi.
 
Pia hakikisha unakaa mbali na minara ya simu. Kama wakilazimika kujenga kwenye kiwanja chako, hakikisha wanakulipa pesa za kutosha.
 
Niambiwe hicho kifaa cha kupunguza mionzi kinaitwaje na kinauzwaje?
 
sasa wazee kwa sisi tuliopo kwenye Minara inakuwaje!!
 
Back
Top Bottom