Tahadhari kwa watumiaji wa internet

Tahadhari kwa watumiaji wa internet

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,304
NAWALETEA KAMA ILIVYO . . . . .
WIZI MPYA WA MITANDAONI . . . . .
Haswaaaaa kwa wale wapendao kwenda internet cafe . . .
Yaani ukiingia internet cafe halafu nyuma ya computer ukakuta kuna ka-PIN keusi kamewekwa kwenye kebo ya kuchomekea Keyboard au Mouse ya computer, basi USITHUBUTU KAMWE kutumia hiyo PC. Narudia . . . . USITHUBUTU!!
Hako kadude keusi ni kama ka-memory fulani hivi ambako kanaweza ku-save data zote utakazotumia wakati unafungua mtandao au internet, mfano passwords za emails, facebook, na hata data zote za banking utakazofanya mtandaoni.
MSIJE KUSEMA HAMKUJUA . . . .
Share kwa wenzako ili nao wajue . . . .
attachment.php
 

Attachments

  • INTERNET.jpg
    INTERNET.jpg
    20.6 KB · Views: 2,145
Hakika technologia inakuja na changamoto zake kibao, Duh ahsante kwa taarifa mkuu LIKUD
 
Hakika technologia inakuja na changamoto zake kibao, Duh ahsante kwa taarifa mkuu LIKUD
haswa ndugu yangu, Mwe!! haya tena makubwa tukimbilie wapi jamani ama kweli hakuna lisilo wezekana chini ya jua!
 
Tangu siku nilipo ambia kuhusu haya maujinga ndio ilikuwaa mwisho wangu wa kwenda migahawani. Kwa sasa ni mwendo wa simu tu! Kama kuna la zaidi nitatumia ka-dell kangu ka nyumbani. Unaweza kujikuta uko uchi siku moja.
 
mkuu hyo inawezekanaje? hata kwa mitandao kama facebook na twitter?? password zinabakije?
au ndyo mambo ya ku enable nywila? (cookies)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom