Tahadhari kwa wateja wa Maryland Bar Mwenge

Tahadhari kwa wateja wa Maryland Bar Mwenge

kamojatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
723
Reaction score
689
Bar hii inalea genge la vibaka ambao kazi yao ni kuvunja vioo vya magari na kuiba mali za wateja.

Chondechonde msiende au mkienda muwe makini sana. Vinginevyo hakikisha gari yako ina alarm.
 
Mpaka wahudumu wa vinywaji na chakula wote ni wezi wakubwa
 
Mkuu ahante kwa kunijuza.Leo nilikuwa nataka nikapumzike pale jioni kwa moja moto moja baridi lakini sasa nitakwenda kwingine!
 
Wezi wapo kila kona, sasa km ww ulivunjiwa kioo maeneo yale usi generalize. Inawezekana wewe ni mmiliki wa baa na haifanyi vizuri. Unataka kutuaminisha kuwa wale vibaka wanaotuibia simu kkoo wanafugwa na soko.?!
 
Bar hii inalea genge la vibaka ambao kazi yao ni kuvunja vioo vya magari na kuiba mali za wateja. Chondechonde msiende au mkienda muwe makini sana. Vinginevyo hakikisha gari yako ina alarm.
Mkuu hebu tupe statistic zako.. ni mara ngapi umesikia wizi umetokea pale.. ila asante kwa taarifa
 
Watu wengi wamelizwa pale maryland. Tatizo kubwa mmiliki wa bar (simjui) inaonekana anapenda cheap labour sasa matokeo yake anajikuta anaajiri mateja na vibaka ambao wanawaliza wateja kila mara. Kama hutaki kuelewa we nenda tu sikuzii. Mimi similiki bar wala biashara yoyote mimi ni mtumishi wa umma hivyo sina nia ya kumharibia biashara.
 
Taizo ile bar ipo karibu na garage. So ukute wale vijana ndo wezi. Lakini kusema mfungua visibo akiubie sio rahisi. Hata hivo pale bar hakuna parking isipokua watu wanapark hifadhi ya tanroad. Mi ningemshauri mwenye bar atafute mlinzi na amlipe wa kufanya kazi ya kulinda mali za wateja.
 
Ni kweli kabisa ndugu
 
Maryland bar kwa nyuma kuna mtaa maarufu sana kwa mateja na kuuza unga unaitwa king stone.hapo ndiyo kitovu cha kuuza unga na mateja.hata ile mitaa ya Togo na ufipa haifikii king stone.hata banza stone aliimba king stoneeee
 
Kile kijiwe enzi hizo bana.....rip Julius Nyaisanga
 
Back
Top Bottom