Tahadhari kwa watanzania Mchele wa plastic

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,751
4,965
IMG-20170528-WA0004.jpg
IMG-20170528-WA0003.jpg
 
Daahhh jamaa watatupa kansaaa..kama mfuko wa plastic ukiwekewa chakula tu ni shida vp kuhusu kula plastic kabisaaa?
 
Ili tufe kabisa. Nchi za magharibi wanahangaika kutumaliza waafrika in the name of biological imperialism.
 
Kuna ule mchele ulikuwa ukiitwa kitumbo, sijui ulikuwa ndio wa plastic maana ulipotea na nadhani ulipigwa marufuku!
 
Asikwambie mtu usiombe ukala pilau la basmati, ndugu.. unaweza ukajikuta unalia kwa furaha.
 
Ukifika iweke
Nimeiweka, mod ameiweka kwenye habari za mchanganyiko. Pls warch the videos they will shock you.

Huu mchele unauwa watoto na kwaletea watu maradhi ya ajabu, na wachuuzi wakubwa ni WACHINA AMBAO NDIO WALIOUBUNI ,waafrika, Wahindi na WaPakistani.
 
Back
Top Bottom