Tahadhari kwa wasafiri waendao Dodoma!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wanajamvi nawasalimia kwanza habari zenyu bwana,Mkasa ulionikuta jumatatu iliyopita nilijimvuzisha katika mji mkuu wanchi Idodomya nikafikia Hotel moja inaitwa Marryland ipo njia yakwenda Arusha road area c,ujenzi kama inavyofahamika nawakazi wahuko nikakaa wiki siku ya jumamosi narudi kwenye mihangahiko yangu nikaenda mapokezi nikapewa funguo nikaingia nikaoga nikabadili nguo nikaona nichukue laptop yangu nivinjalikwenye jamvi kwani nilikuta kitu??!!!nikaenda mpokezi huko nahuko hakuna kitu!asubuhi nikaenda polisi wakawakamata meneja wahudumu wasiku hiyo lakini hakuna aliyekuwa tayari ikabidi mwenye hotel aitwe naalipo fika ikaamliwa nilipwe nikalipa lakini tukaichangia nikalipa nusu thamani ya laptop nammiliki wa hotel akafanya hivyo!sasabasi mkuu waupelezi akasema juzi kunawatu wa wizara ya ujenzi wameibiwa laptop 3 hii ni case ya pili ndani ya juma moja na nusu!akasema nimtandao wanaingia kwenye hotel wanapanga huku wakichunguza nivyumba gani vyenye wateja wenye pesa!wanatumia masterkey!hayo ndiyo yamenikuta capitalcity!wameniacha uchi nambaya zaidi hata flash wamekomba!!Nwaomba wanaoenda huko jihadharini sana na hotel zilizopo area c.
 
lakini lazima ulienda mnadani ..... ukabonyeza na valuer ...... memory ikaenda kwao
 
Pole sana mkuu, nipo Arusha na hilo limeniskitisha sana, next time ukienda hotel yoyote kwanza waambie kabisa na uandikishe na unapotoka hakikisha umekabidhi laptop yako mapokezi vinginevyo sepa nayo. Hali imekuwa mbaya sana siku hizi tena shukuru hata huyo jamaa amelipa nusu, mwingine mngeanza malumbano na ngoja ngoja za leo kesho mpaka ukakata tamaa.
 
Pole sana kwa mkasa uliokukumba, kweli inatakiwa umakini kila unapokuwa safarini ni vitu vya thamani kama laptops na vitu vingine, na sio Dodoma tu sehemu yoyote ya nchi yetu.
 
Pole sana mwanajamvi kwa mkasa huo, napenda kuwaambia wanajamvi kuwa huo mchezo sio dodoma tu, sasa hivi ni kila sehemu kuna hao watu waliojipa biashara hiyo na mtaji wao ni hela ya kupanga chumba kwa hiyo hotel husika.
Na Dar umezuka mchezo wa kukwapuwa laptop ukiwa unatembea kwa miguu na mkwapuaji yupo kwenye gari kisha mnaburuzana hatimaye kukuumiza na kuachia beg ya laptop. Kueni macho sana wandugu.
 
Duh!
Poleni wageni.
Siku nyingine mkija mtuombe wenyeji wenu ulinzi.
Maana wenyeji hawatuibii wanatuogopa.
 
Du pole sana mkuu na tunashukuru kwa taarifa nzuri,ila wizi ni kila mahali mfano mwenge usipark gari nakuondoka ukafikiri lipo salama,kuna watu wanafunguo zao wanafungua na kupekua kila kitu na wanaifunga kama kawaida,cha hatari zaidi hatakama umepark mbele ya kituo cha police mwenge wanafungua tu,ni hatari jihadharini sana na mwenge
 
Hicho kihotel cha MerryLand hata mimi yalishanikuta, kwanza funguo za vyumba zinaingiliana kwani nikiwa ndani muhudumu alikuja na funguo nyingine kufungua mlango!!
mmiliki pia maarufu kama "cityboys" ni kichwa ngumu hasikilizi malalamiko ya wateja na ana mahusiano ya mapenzi na wafanyakazi wake wa kike hapo hivyo utendaji ni zero!!
 
Duh!
Poleni wageni.
Siku nyingine mkija mtuombe wenyeji wenu ulinzi.
Maana wenyeji hawatuibii wanatuogopa.

Mmhh so sasa ni hotel gani salama hapo maana in 4 days nitakuwa huko na nina wageni wangu singependa hii adha iwatokee. whicha are the recommended hotels.
 
we dont leave laptops in hotel rooms even if it is a five star hotel sembuse hiyo takataka hotel?!!!!!
 
Pole sana. Wakt mwengine unatakiwa ukabidhi vitu vyako vya thamani kwa muhudumu hapo kaunta kabla hujatoka. Si unajua wahenga walisema, " mwanga mpe mtoto alee"
 
Back
Top Bottom