hhhahahhaha, ati menopause? acha visa bana..
mwj1....mke/mume ukimchunga sana atakuletea vituko mpaka uone june/july...(pepo za kusi na kaskazi)
Muhimu kujipenda mwenyewe, kwa umri wetu huu ukijitia kuubeba wazimu wa mwenzio unatafuta kujizeesha
tu.
chukulia mfano umelala chumbani na mumeo, ati saa nane za usiku unamsikia anajisogeza pembeni ya kitanda,
kisha huyoo ananyata.......anafungua mlango wa chumba anatoka... unamsubiria weee, kumbe mwenzio kaenda chumba cha housegirl kupiga mbizi...utamlaumu? hakikisha akirudi mwambie akakoge janaba lake kwanza,
huna haja ya kugombana nae bana..."never argue with a fool" chizi sio lazima avae mfuko ya rambo kichwani.
vuta shuka ulale.
wala usiogope mwanangu........... nakujua`wewe, unajua kuchagua wala huwezi kupata kicheche..............
Baba yangu I wish, I just wish kwa kuwa ninahisi kwa kipande hiki sina bahatika ila tu kinachonishangaza ni kuwa ninapofikia nimekinai na kumwaga manyanga ndo mtu anakuja na hadith za ni shetani tu alinipitia ayiiiiiiiiiiiii ngoja kwanza niwe peke yangu kwa muda.
Baba yangu I wish, I just wish kwa kuwa ninahisi kwa kipande hiki sina bahatika ila tu kinachonishangaza ni kuwa ninapofikia nimekinai na kumwaga manyanga ndo mtu anakuja na hadith za ni shetani tu alinipitia ayiiiiiiiiiiiii ngoja kwanza niwe peke yangu kwa muda.
Mtambuzi
I had a lot to say about your type of reasoning how stup** it sounds and so forth but nikaona..................anyways let me ask you this, Je In the same token, si wamama tunapowanyima watoto wetu, wa kike kwenda kutoa ashiki zao should u as baba mwenye nyumba take care of that as well?? Acheni excuses zenu za kipumbavu!!!!Men sleeping with the help has got nothing to do with the wife but your own tamaa!!!!
huo ni ukweli mtupu, yani unakuta mtu anamuachia housegirl hadi kutandika kitanda anacholalia na mumewe, kumtengea maji bafuni, baba kama huwa anachelelwa kurudi house girl ndo ataamka kutanga chakula, na unaweza kuta mwenye mume kalala na hata kama hajalala ametulia tu anaangalia tv, au anatengeneza kucha, hata hashtuki kama mumewe ameingia hata kumpokea kwa busu na kumwambia pole na kazi mume wangu hakuna, ndo kwanza anajifanya hana habari, wengine hadi boxer za mume na nguo zake za ndani anampa housegirl, halafu mume akitembea na beki tatu analalamika, mwanaume afanyaje sasa mana katika hali hiyo housegirl ndo mke anafanya kazi zote unazotakiwa wewe kuzifanya.
huo ni ukweli mtupu, yani unakuta mtu anamuachia housegirl hadi kutandika kitanda anacholalia na mumewe, kumtengea maji bafuni, baba kama huwa anachelelwa kurudi house girl ndo ataamka kutanga chakula, na unaweza kuta mwenye mume kalala na hata kama hajalala ametulia tu anaangalia tv, au anatengeneza kucha, hata hashtuki kama mumewe ameingia hata kumpokea kwa busu na kumwambia pole na kazi mume wangu hakuna, ndo kwanza anajifanya hana habari, wengine hadi boxer za mume na nguo zake za ndani anampa housegirl, halafu mume akitembea na beki tatu analalamika, mwanaume afanyaje sasa mana katika hali hiyo housegirl ndo mke anafanya kazi zote unazotakiwa wewe kuzifanya.
Lol to me kwa kweli THEY did not deserve me, nor did they deserve my love. Urembo na sura yangu isiwe sababu.sio kwamba naku-Nag mwanangu, wala sina maana hiyo..........bali umenikumbusha haka kawimbo...........lol
"Musichana wa suraa nzuri , ni kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha, hata ng'ambo ukaenda ukarudi
Tara tata tara tata tarata tarattraaaaaaaaaaa………………. X 2
Musichana wa urembo kama weweee, uonyesheee mapenzi kwa vijana
Ukionyesha majivuno kwa vijanaaa utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
Ooo baby
Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka
Ooo baby
Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka
Tala talaaa tili li liiiiiiiiii Tala talaaa tili li liiiiiiiiii x 3"
Kwa hiyo unataka kusema house girl anayepewa kazi nyingi kama ulizoorozesha hapo; inabidi apewe bonus ya SEX? aongezewe mshahara? au? Kuna uhusiano gani kati ya hizo kazi na kutembea na mwenye nyumba? Let me log off. JF Great thinkers you made my day today.
Tena mama Tuli chunguza wanawake wenye wanaume wanaotembea na mahosegirl afu njoo utuambie; wake zao hawana kasoro na ni wachapa kazi za ndani wazuri tu; Wanaume wengine hata uwabebe na mbeleko ya chuma.
Lol. Mi wala sisumbuhi akili yangu kuwaza hubby atatembea na h/girl tena ma h/girl wangu ukiwakuta hutajua kama ni ma h/girl ni wazuri na ni wadada wa pamba. Wanawake tujiamini; mwanaume malaya ni malaya tu; msinyanyase ma housegirl wenu kisa mmeo asimtamani. Kama mumeo ni kunguru kunguru tu hafugiki.
Teteeni vyovyote vile, ila to me......those pressumptions of mtambuzi are rebbuted!! Natamani sana ningempa huyu mama jirani yangu achangie kitu coz ye ni mhanga wa hii kitu pamoja na uwajibikaji wake wote!! Mliofanikiwa kuwabana waume zenu hongereni lakini pia shukuruni wala msijisifu kuwakamata bali shukuruni kuwa hawana mbio za kuwakimbia. Narudia tena kusema hiyo mianaume ndivyo ilivyo, msiwape excuses!! Crap!!!!!
Umenifurahisha imebidi niunge mkono hoja japo niliaga.
Yaani hawa wanajifanya ka watoto wadogo maana mwanangu alipokuwa mdogo nilikuwa nakagua nyumba nzima kuhakikisha hakuna vitu vya hatari asije akala au akajikata.
Sasa wanaume wa hivi hata maofisini tuwaombee wapewe ma secretary wa kiume; na masecretary wa kiume walivyo wachache mbona tuna kazi; mwe!
Tena kazi na usumbufu pia tunao kwa hawa viumbe!! Kwa jinsi wanavozidi kutoa visingizio hata wakiwekewa masecretary wa kiume ipo siku mafataki nao watarise na kudemand muache kuzaa watoto wa kike coz ni warembo na wanawatamanisha!! Nalo litakubalika?? Wasitutanie!!!! Kuna mijanaume mpaka leo inasarandia vibinti vidogo dogo kwa madai kuwa hawajawahi kubikiri au walibahatika ila wanakimbilia vichuchu konzi, then what is this?? Kuna wengine (my uncle type) wanathubutu kulazimisha mapenzi na wakaamwana wao, sasa hawa nao watarise na kudai katiba yao ya KIZURI KULA NA NDUGUYO, sio?? Narudia tena, tamaa ya uzinzi, na hiyo MIANAUME NDIVYO ILIVYO. No excuses, no justifications! Crap!!!!!!!
jamani kinamama,kwa nini hamuelewi vitu rahisi tu? Mdogo wa mke mbona ni halali kabisa kuvinjari naye? Hebu niambieni wa mama wa mmu,unapokuwa na mimba ya miezi minane,hoi,unajifungua,kunyonyesha,busy mume hutaki hata kumuona,katika mazingira hayo si bora umsogezee mdogo wako amhifadhi kuliko atange na njia mwisho akuletee maradhi,au?Ni kweli kabisa nyie wanaume hamna jema jamani......ndio maana mwanzo sikutaka kusema kitu maana najionea tabu tu. Hata mkeo akufanyie nini kama haujastaaribika ndio basi tena hata mdogo wa mkeo kutembea nae huoni shida licha ya HG!!!!!
Kwakweli kilichobaki ni kila mwanamke apige goti kumuombea mumewe maana mmmhhhh.....kama ni mtihani tunao.
Sio bure mgonjwa huyu lazima atakuwa amepona. Hahahaaaaaaaaaaaaaa!
Kaka ni kama umepiga ikulu mzee. Nna jamaa yangu kaka ya mkewe kwa sasa anajimwaga na beki tatu alofukuzwa na mkewe lakini jamaa kwa kunogewa na penzi la beki tatu, akaamua kumrudisha mjini toka kwao ujitani hadi dar. Akampangia nyumba demu, mbaya zaidi akamfanya awe house girl wa mama yake mzazi.
Kwa sasa jamaa anajimegea tena kwa raha zake, maana wife wake hajui kuwa beki tatu amerudishwa mjini na amepangiwa chumba. Mshikaji wangu ananiambia kuwa beki tatu 'kazi' anaijua maana hata yeye aliamua aonje ajue nini hasa kilichomfanya shemeji yake afikie hata kumrudisha mjini kutoka ujitani.
Aisee sisi wanaume ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Unapewa kila kitu lakini, waaaaaaaaaaaapi, mweeeeeeee! Ndo maana Mungu kawajalia wanawake roho ya huruma, vinginevyo dunia hii wangekuwa wao peke yao tu.