Ni vema wanaolipwa na kujipanga barabarani kuzomea au kupiga deki wajiandae maana na vijana wa ccm wakiamua kulipiza kisasi patakuwa hapatoshi. Tufanye siasa za kistaraabu kwani hata ccm siasa za rafu tunazijua.
Na nyie si mkajipange mzomee??
Kuzomea au kushangilia kwenye mikutano huwa kunatokea automatically bila kuwapanga watu. Ukiwa kwenye mkutano wa mwanasiasa anayevutIa na kupendeka kama Lowassa halafu ukijifanya hamnazo na kuanza kuzomea unaweza kujikuta kwenye hali mbaya sana! Na CCM wanalijua hili na ndio maana hakuna mtu anayekubali kulipwa fedha ili azomee kwenye mikutano ya UKAWA kwani makubwa yanaweza kumfika.

mwaka huu lazima mikia ilale nje

Kwanza tuweke kumbukumbu sawa' ccm hakuna vijana wote ni wazee. Ukimwona kijana yupo ccm ujue ana matatizo. Alafu wanaowazomea ccm siyo ukawa ni wananchi wa kawaida wenye maisha magumu kutokana na ubovu wa ccm ----- wewe.
Sa kumsafishia rais njia ni fujo?
Bro wew huoni watu wakila Ujana CCM na wakishazeeka ndo wanakuja ukawa....?????? Au unajisahaulisha....?????Kwanza tuweke kumbukumbu sawa' ccm hakuna vijana wote ni wazee. Ukimwona kijana yupo ccm ujue ana matatizo. Alafu wanaowazomea ccm siyo ukawa ni wananchi wa kawaida wenye maisha magumu kutokana na ubovu wa ccm ----- wewe.
Ni vema wanaolipwa na kujipanga barabarani kuzomea au kupiga deki wajiandae maana na vijana wa ccm wakiamua kulipiza kisasi patakuwa hapatoshi. Tufanye siasa za kistaraabu kwani hata ccm siasa za rafu tunazijua.
Sawa, ila mgombea wenu sidhani kama atahimili mikiki ya kuzomewa! usitafute murder case.
Ni vema wanaolipwa na kujipanga barabarani kuzomea au kupiga deki wajiandae maana na vijana wa ccm wakiamua kulipiza kisasi patakuwa hapatoshi. Tufanye siasa za kistaraabu kwani hata ccm siasa za rafu tunazijua.
Rais wa wapi?
Rais ni le proffeseri mama.
Usichemshe
Nakumbuka hata mwigulu aliisha wahi izungumzia hii ishu,kuwa wako fiti wanaweza kujibu mashambulizi wakiamua:-D:-D
Sjui wanasubiri nini???