bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Ni vema wanaolipwa na kujipanga barabarani kuzomea au kupiga deki wajiandae maana na vijana wa ccm wakiamua kulipiza kisasi patakuwa hapatoshi. Tufanye siasa za kistaraabu kwani hata ccm siasa za rafu tunazijua.
Ccm hakuna vijana,kuna vijana wenye akili za wazee.