bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Wapendwa ,
chukueni tahadhari sana, tena
sana na msipuuzie kuanzia sasa kamwe msije
mkala vyakula kama :-
Burger,
Pizza,
Birian,
Pweza,
Kababu,
Chips
Kuku,
Sandwich,
Chops,
Supu ya Maini,
Mishikaki ya kuku,
Meat Cake,
Mkate wa nyama nk.
Bila ya kukumbuka kunichukulia na mimi,
maana ndio mambo yangu hayo..
cc: Evelyn Salt
miss chagga
chukueni tahadhari sana, tena
sana na msipuuzie kuanzia sasa kamwe msije
mkala vyakula kama :-
Burger,
Pizza,
Birian,
Pweza,
Kababu,
Chips
Kuku,
Sandwich,
Chops,
Supu ya Maini,
Mishikaki ya kuku,
Meat Cake,
Mkate wa nyama nk.
Bila ya kukumbuka kunichukulia na mimi,
maana ndio mambo yangu hayo..
cc: Evelyn Salt
miss chagga
Last edited by a moderator: