Tahadhari kwa walaji wa Pweza

Tahadhari kwa walaji wa Pweza

mimi ni mlaji mzuri wa pweza kila jioni, ila si kweli kuwa wanaongeza nguvu, uwezo wa uwanja wa seremala ni saikolojia yako, mfumo wa vyakula, mazoezi. ila hizo theory zingine za pweza, nyagi, zanzi mhhhhh. imani.

Kijana leo.....pweza wa nguvu sio hao wa vipande barabarani jioni.....pweza gani vumbi tupu....supu imejazwa maji km kitu gani?fuata ushauri hapo juu,nunua tengeneza nyumbani utaona tofauti,na nguvu sio kwa siku mmoja tu weka utaratibu wa kupata hii kitu km kwa mwezi hivi nakuhakikishia utatia adabu nyumbani!
 
hahahaaa... Duh! Watu wavumbuzi kweli. Aliyevumbua hiyo staili ya kupiga sijui alikuwa anawaza nini
Unafahamu kitu kuhusu kukafini?maiti wa kiislamu anapooshwa hunyooshwa nyooshwa viungo na kukamuliwaili awe safi katika hiyo process humfanya alainike nadhani hapo ndipo walipopata wazo la "kumkafini"pweza!
 
Ndo wanavyopikwaga hvyo ondoa hofu c twala miaka na miaka
 
Unafahamu kitu kuhusu kukafini?maiti wa kiislamu anapooshwa hunyooshwa nyooshwa viungo na kukamuliwaili awe safi katika hiyo process humfanya alainike nadhani hapo ndipo walipopata wazo la "kumkafini"pweza!
Hatari kweli. Ifike mahali sasa nae marehemu wamkafini kama pweza
 
Back
Top Bottom