s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 465
kaka kilo moja ya pweza???? unataka kukesha???
Kaka usiku mrefu kaka........wale wa vibakuli hawafiki saa 6.....ndio maana michepuko inaongezeka we unafikiri kwa nini?
kaka kilo moja ya pweza???? unataka kukesha???
Mi nikila hao pweza mashine ndo inagoma jumla
mi nakula kujenga afya na sio nguvu kwani nguvu ni genye zako tu..
Nackia na mwanza wameanza kuletwa hao pweza hebu nielekezeni maandalizi yake ili nijenge heshima
Mkuu pole sana mamsap karibia atachepuka huyo ooh!!
hebu elekeza na jinsi ya kuwaandaa na kuwapika
Km freezer yako ni nzuri anakaa muda mrefu tu...mi naweka wa2/3 natumia mwezi mzima,lkn kwa Tanesco yetu hii na kwa vyakula vya baharini unashauriwa kutumia haraka mara baada tu ya kununua kuepuka food poisoning nk.Jaribu kutayarisha hii kitu utakuja niambia hapa hapa.hakikisha unanunua aliyepigwa tayari jaribu kuuliza kabla hujanunua....
Kwanza ujue km pweza amepigwa, kule feri uliza amepigwa km laa mwambie akupigie kwan asipopigwa anakuwa mgumu. Pili jinsi ya kumtayarisha unakata vipande size upendayo ila kwenye kichwa hakikisha unatoa macho na takataka nyengne. Kumpika unaweka tangawizi kiac, k/thiumu, ndimu, bizari nyembamba na pilipilu manga kwa mbali sana
Achaneni na pweza hayumo katika orodha ya vyakula alivyotupa Mwenyezi Mungu. Kama shida ni nguvu ya kiume kibo ya yote ni asali, mdalasini na vitunguu saumu. mchanganyiko huu kwa mwezi mmoja tu hata ------- anasimamisha ati!
Mi nikila hao pweza mashine ndo inagoma jumla
Kama hajapigwa mweke kwenye friza kisha kesho yake mtoe kwenye barafu anakua laini kama amepigwa so sio lazima kumpiga kule feri