Tahadhari kwa Wagombea Ubunge wa Chadema na ACT, Bara na Visiwani

Mkuu Mkongwe Mzoefu, kuna baadhi ya mabadiliko huwezi kuyafanya ukiwa nje ya mfumo rasmi. Hivyo mimi mwana jf mwenzenu nimeamua kuunga mkono juhudi, na kuleta mabadiliko from within.
Hivyo naomba support yenu kwenye hili ili nikifika humo ndio tuibadili Tume ya Uchaguzi sio iwe huru, Tume ni huru bali iwe Shirikishi.
Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge - JamiiForums

P
Mie nilijua ulitania siku hile April 1st. Maamuzi magumu na muhimu ukaenda kuyatangaza kwenye siku kuu ya wajinga. Si ungesubiri tarehe mbili mkuu?
 
Kuna jambo moja wengi wenu hamjaliweka akili au pengine kuliwazia.

Kwamba kama vyama vyenu vitalisimamia kwa nguvu zote suala la Tumehuru ya uchaguzi basi uchaguzi huu wa 2020 mnaenda kuunda serikali kwa Chadema huku bara na ACT kule Zanzibar.

Kwamba hatuwachagui kwa wingi ili muende ubungeni kufanya ujinga kama uliokuwa unafanywa na CCM kushangilia kila kiletwacho na serikali yao na kuunga mkono hata upuuzi.

Tutahakikisha sheria inabadilishwa ili wabunge wasiwe mawaziri kama ilivyo Kenya hivyo hakuna kujipendekeza ili kuteuliwa kuwa waziri. Hata ile katiba ya Warioba iliyo sema mbunge anaweza kuondolewa na wananchi wake kama yupoyupo tuu kama walivyo wabunge wengi wa sasa wa CCM.

Je kabla ya kuchukua fomu mmejiuliza hayo mtayaweza? Ujinga wa kuunga mkono kila jambo la serikali ya Chadema na ACT hamta kubaliana nao? Maana kama huwezi bora usichukue fomu kabisa, hatutaki akili za kiccm kabisa 2020-2025 maana ndio zimetufikisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku zote ninapo ona uzi kama huu, mimi nina vunjika moyo na upinzani na huko tunakota tuende.
 
Wakuu nikiona uzi kama huu roho yangu hulipuka sana na huwa najiuliza wenzangu wana muono kama wa kwang au macho yangu yana taabu, masikio yangu yameanza kutosikia na uwezo wangu wa uchambuzi nimeanza kuwa na shaka nao.
LABDA WANAO ANDIKA HUFANYA HIVYO KWA KUJIFURAHISHA?

Kwa miaka mitatu kuelekea minne sasa ni Maneja wa kitaifa (National Sales Manager) wa kampuni kubwa ya uzalishaji na kusambaza bidha yza matumizi ya ndani na yakawaida, (domestic consumables). kazi hii imenipa nafasi ya kutembelea karibu miji yote mikubwa, ya kati, midogo midogo na vijiji vyenye mkusanyiko wa watu wengi. Nimelala karibu miji yote ama nauza bidha, kutafuta wauzaji wa jumla wanaoaminika na kuweka ofisi ndogo zetu ama sehemu za kuhifadhia bidhaa zetu.
Wakuu na watanzania wenzangu kuna muono mlio nao unaweza ukawa sio halisi, au iwe mnacho andika siyo mnacho amini iwe kufurahisha wasomaji, hali ni tofauti huko kwa wapiga kura. Upinzani nawaomba tufanye kazi kubwa sana na tuianze sasa hivi. Watanzania ni wale wale lakini wa mwaka 2015 na wa leo( nikimanisha fikira zao) ni tofauti na wa sasa hivi 2020 wamekengeuka. Waulize wapinzani wote ambao tunapata nafasi ya kuzunguuka , wote tunatambua kuna ugumu sana hasa kumuondoa MKULU kwa kura na wasimamizi wawe sisi na tuamue kutenda haki ATATUPIGA CHINI. Wakuu tufanye kazi ya kutukuka tena tunachelewa kwa wapiga kura wetu, Labda maoni yetu wapinzani tunayatoa na tukimaanisha kinyume chake. Asanteni.
 
Unaongelea jambo usilolifahamu. Ungejiuliza woga wao unatokana na nini kama tafiti zao za siku kwa siku zingekuwa na matokeo kama haya ya kwako?
We endelea kuuza sahani na masufuria mikoani mengine waachie wengine

Asante Mkongwe Mzoefe, nashukuru sana kwa mchangp wako ila naona unajitahidi sana kudhalilisha Ukongwe uzoefu wako kama jina lako linavyo nathijibisha. Ila napenda ujue thamani ya jina lako. livyo. Pole.
 
Unaongelea jambo usilolifahamu. Ungejiuliza woga wao unatokana na nini kama tafiti zao za siku kwa siku zingekuwa na matokeo kama haya ya kwako?
We endelea kuuza sahani na masufuria mikoani mengine waachie wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwaka 2001 mpaka 2007 ndio ulikuwa wakati natembea kutoka Mombo mpaka mwanga bila kuwa na maswali mengi, nikiamini Tanzania yote inafanana na maeneo yangu. Hali hii ilitokea nikienda Arusha,Moshi, Tanga na Dar es salaam kunafanana na maeneo ninayotoka. Lakini kama ilivyo huwezi kuwa mjinga siku zote kufanya mnayo ambiwa au kukubaliana bila kujiuliza maswali. Kwa nafasi niliyo pata ya kutembelea karibu Tanzania nzima itabidi watafutwe wajinga wengine ambao hawato jiuliza maswali. Watanzania kwa miaka hii mitatu tusiji danganye mambo yamebadilika sana tuondoe mazoea ya siku zilizo pita. Lazima tufanye kazi ya kutosha na tuanze sasa hivi.

Sahani, juice, mafuta ya kupikia,sabuni za miti na za unga,korosho, maji, unga wa ngano,piki piki na bidha zingine nyingi nitauza lakini na Digree zangu bado zitakuwa zikifanya kazi ya kuendelea kuelewa mazingira ya nchi yangu.Krip nilizo chukua kote niliko pita nikakutumia naamini lazima utasumbuka roho yako labda uwe mpinzani mbabaishaji. Siwezi kuwa na mapenzi ya chama ya uzezeta. Natumaini na Watanzania wengi kadri muda unavyo kwenda tutakuwa na uwezo wa kukataa uwongo bayana. Tufanye kazi na ya kutosha na tusichoke. Mazezeta kama nyinyi wenye kuamini mambo safi kama 2015 mkiongezaka sana hatutokuwa na uwakilishi ambao leo tunao vyama vya upinzani hasa Bungeni. ASANTE NA POLE.
 
Bunge hili la sasa ni UTOPOLO kabisa japo ni Bunge la Vyama vingi...CCM mle Bungeni ni zero brain kabisa, bado najiuliza Bunge la 1990-1995 lililokuwa la Chama kimoja (CCM) mbona lilikuwa na wabunge mahiri?

Nakumbuka G-55 ya akina Njelu Kisaka na wengineo ilivyopeleka hoja Bungeni juu ya Serikali 3 ndani ya Muungano, enzi hizo PM ni Mzee John Samwel Malecela (Cigwiyemisi), ambaye alicheza fair play na Bunge likawaka moto.

Bila Baba wa Taifa, Mwl JK Nyerere "Mchonga" Leo hii Muungano ungekuwa wa Serikali 3...

CCM ya Leo wabunge wake wengi ni UTOPOLO chini ya Spika JYN....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninapungia mkononi tu.Tukutane Oktoba hii 2020.Endeleeni kuunyima Bongo wenu hewa safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mwaka 2001 mpaka 2007 ndio ulikuwa wakati natembea kutoka Mombo mpaka mwanga bila kuwa na maswali mengi, nikiamini Tanzania yote inafanana na maeneo yangu. Hali hii ilitokea nikienda Arusha,Moshi, Tanga na Dar es salaam kunafanana na maeneo ninayotoka. Lakini kama ilivyo huwezi kuwa mjinga siku zote kufanya mnayo ambiwa au kukubaliana bila kujiuliza maswali. Kwa nafasi niliyo pata ya kutembelea karibu Tanzania nzima itabidi watafutwe wajinga wengine ambao hawato jiuliza maswali. Watanzania kwa miaka hii mitatu tusiji danganye mambo yamebadilika sana tuondoe mazoea ya siku zilizo pita. Lazima tufanye kazi ya kutosha na tuanze sasa hivi.

Sahani, juice, mafuta ya kupikia,sabuni za miti na za unga,korosho, maji, unga wa ngano,piki piki na bidha zingine nyingi nitauza lakini na Digree zangu bado zitakuwa zikifanya kazi ya kuendelea kuelewa mazingira ya nchi yangu.Krip nilizo chukua kote niliko pita nikakutumia naamini lazima utasumbuka roho yako labda uwe mpinzani mbabaishaji. Siwezi kuwa na mapenzi ya chama ya uzezeta. Natumaini na Watanzania wengi kadri muda unavyo kwenda tutakuwa na uwezo wa kukataa uwongo bayana. Tufanye kazi na ya kutosha na tusichoke. Mazezeta kama nyinyi wenye kuamini mambo safi kama 2015 mkiongezaka sana hatutokuwa na uwakilishi ambao leo tunao vyama vya upinzani hasa Bungeni. ASANTE NA POLE.
Asante sana kwa kuniita zezeta nadhani ndio uwezo uliofikishwa na hiyo degree yako (ambayo hujaitaja ni ya nini)
Huu ukongwe sio wa kujipachika bali ni ukongwe hasa. Wewe huielewi TZ hata kidogo bali unababia babia tuu kwa kuokoteza habari na kuangalia upande mmoja.
Nimekuwa kwenye utumishi wa umma muda mrefu kabla ya kujiondoa. Sasa hivi hakuna wanaosifia utawala kama watumishi wa umma na mashirika yake kuliko wakati mwingine wowote. Lakini hakuna wakati watumishi hao wameuchukia utawala kutoka moyoni kama wakati huu. Unaweza kuwa wewe hulijui hilo lakini watawala wanalijua sana.
Hao na baadhi ya wafanya biashara ndio wanaotengeneza ushindi wa chama kwenye uchaguzi, wakulima pamoja na wingi wao wanategemea upepo wa uchaguzi.
Huwezi kupima siasa za watu waliofungiwa ndani kwa miaka minne ngoja wapewe muda wa kutoka nje ndio utajuwa wana nguvu kiasi gani.
Umepata kujiuliza mbona ccm inaogopa Tumehuru ya uchaguzi? Mbona imetumia nguvu kubwa kuzuia ma DED kuondolewa nafasi za Returning Officers?
Ukipata majibu hayo ndugu Msomi wa degree, just come back tujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakuunga mkono kabisa upo sahihi nami nasema serikali ya mseto ni kupakana matope mfano kenya na hata zenji

Tushirikiane Ku make sure Tumehuru inakuwepo ili yale tusiyo amini kutokea yatokee

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mwezi wa nne..., bado unamatumaini ya kuwepo mabadiliko yoyote katika muundo wa tume; halafu uchaguzi ufanyike Oktoba?

Wakti mwingine tuwe tunaukubali tu ukweli uliopo kuliko kujipa matumaini yasiyowezekana!

Hebu mkuu, jaribu kueleza tume itabadilshwa vipi katika mazingira yaliyopo sasa.
 
Wakuu nikiona uzi kama huu roho yangu hulipuka sana na huwa najiuliza wenzangu wana muono kama wa kwang au macho yangu yana taabu, masikio yangu yameanza kutosikia na uwezo wangu wa uchambuzi nimeanza kuwa na shaka nao.
LABDA WANAO ANDIKA HUFANYA HIVYO KWA KUJIFURAHISHA?

Kwa miaka mitatu kuelekea minne sasa ni Maneja wa kitaifa (National Sales Manager) wa kampuni kubwa ya uzalishaji na kusambaza bidha yza matumizi ya ndani na yakawaida, (domestic consumables). kazi hii imenipa nafasi ya kutembelea karibu miji yote mikubwa, ya kati, midogo midogo na vijiji vyenye mkusanyiko wa watu wengi. Nimelala karibu miji yote ama nauza bidha, kutafuta wauzaji wa jumla wanaoaminika na kuweka ofisi ndogo zetu ama sehemu za kuhifadhia bidhaa zetu.
Wakuu na watanzania wenzangu kuna muono mlio nao unaweza ukawa sio halisi, au iwe mnacho andika siyo mnacho amini iwe kufurahisha wasomaji, hali ni tofauti huko kwa wapiga kura. Upinzani nawaomba tufanye kazi kubwa sana na tuianze sasa hivi. Watanzania ni wale wale lakini wa mwaka 2015 na wa leo( nikimanisha fikira zao) ni tofauti na wa sasa hivi 2020 wamekengeuka. Waulize wapinzani wote ambao tunapata nafasi ya kuzunguuka , wote tunatambua kuna ugumu sana hasa kumuondoa MKULU kwa kura na wasimamizi wawe sisi na tuamue kutenda haki ATATUPIGA CHINI. Wakuu tufanye kazi ya kutukuka tena tunachelewa kwa wapiga kura wetu, Labda maoni yetu wapinzani tunayatoa na tukimaanisha kinyume chake. Asanteni.
LOoo,

'Gerald Magembe' (Magembe) katika ubora wake!

Na digrii zake, sijui ngapi! Kamwagika kweli kweli hapo na kuonyesha umahiri wake.

Hii sasa ndio hali halisi ya nchi hii. Hawa ndio watawala wetu wanaojifanya wanajua kila kitu kizuri kinachohitajiwa na nchi yetu. Wao pekee ndio wateule wa kutuelekeza cha kufanya.

Wanahimiza tufanye tu kazi, huku wakiminya haki zetu.

Ni wao tu ndio wenye uwezo wa kutuonyesha kinachohitajika ndani ya nchi hii, wengine wote tubaki tukiwasikiliza wao hata kama wanafanya ujuha uliowazi kama andiko lililowekwa hapa.

Hawa ni watu wa kuwakataa kwanguvu zetu zote.
 
Mkuu mwaka 2001 mpaka 2007 ndio ulikuwa wakati natembea kutoka Mombo mpaka mwanga bila kuwa na maswali mengi, nikiamini Tanzania yote inafanana na maeneo yangu. Hali hii ilitokea nikienda Arusha,Moshi, Tanga na Dar es salaam kunafanana na maeneo ninayotoka. Lakini kama ilivyo huwezi kuwa mjinga siku zote kufanya mnayo ambiwa au kukubaliana bila kujiuliza maswali. Kwa nafasi niliyo pata ya kutembelea karibu Tanzania nzima itabidi watafutwe wajinga wengine ambao hawato jiuliza maswali. Watanzania kwa miaka hii mitatu tusiji danganye mambo yamebadilika sana tuondoe mazoea ya siku zilizo pita. Lazima tufanye kazi ya kutosha na tuanze sasa hivi.

Sahani, juice, mafuta ya kupikia,sabuni za miti na za unga,korosho, maji, unga wa ngano,piki piki na bidha zingine nyingi nitauza lakini na Digree zangu bado zitakuwa zikifanya kazi ya kuendelea kuelewa mazingira ya nchi yangu.Krip nilizo chukua kote niliko pita nikakutumia naamini lazima utasumbuka roho yako labda uwe mpinzani mbabaishaji. Siwezi kuwa na mapenzi ya chama ya uzezeta. Natumaini na Watanzania wengi kadri muda unavyo kwenda tutakuwa na uwezo wa kukataa uwongo bayana. Tufanye kazi na ya kutosha na tusichoke. Mazezeta kama nyinyi wenye kuamini mambo safi kama 2015 mkiongezaka sana hatutokuwa na uwakilishi ambao leo tunao vyama vya upinzani hasa Bungeni. ASANTE NA POLE.
Gerald Magembe, umekuwepo hapa JF tokea 2013, lakini bado hujajifunza kitu?

Na digrii zako za kuuza sahani, bado mpangilio wa mawazo unakupa shida?

Unatembea "toka Mombo mpaka mwanga, bila kuwa na maswali mengi..." inatueleza kitu gani hapo?

Hizo digrii uliziokota jalalani au?

"Watanzania kwa miaka hii mitatu tusijidanganye, mambo yamebadilika sana..." ina maana ulikuwa unaishi pangoni, mara ulipoibuka toka huko miaka hii mitatu ndio ukazinduka kuona mabadiliko?

Unaelewa maana ya mabadiliko yanavyotokea?

Kiufupi ni kwamba unaendeshwa na mihemko ya asili ya jina lako 'Magembe'. Najua asili yake sio huko tu, lakini hili lako ni la huko huko linakopatikana.

Baadhi yenu ndio mnaofanya watu waamini kila anayetokea huko tabia zao ziko vilevile, kumbe sio kweli. Ni baadhi tu kama wewe unavyojionyesha hapa.

Halafu unakuwa na ujasiri wa kuwaita watu "zezeta" mtu mwenye mawazo ya kipuuzi na jinsi ulivyoyawasilisha hapa!
 
Back
Top Bottom