Tahadhari kwa wabunge wanaohama vyama vyao kwa sasa

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Huu ni itabidi wangu kwa wabunge na madiwani wanaohama vyama vyao kwa sasa na kurudi tena kwenye nafasi zao kwa chama kingine.
Inaonekana kuwa wengi wanaohama vyama na kugombea tena wanafanya hivyo baada ya kiangali upepo wa siasa.
Wengi wanaona kuhamia ccm kuna uwezekano wa kupita bila kupingwa 2020 hill wajue halipo kwa sababu zzifuatazo:
1. Hicho chama kina watu wengi wanosubiria 2020
2. Hawawezi kuaminika tena na wanacxhama
3. Misheni ilishakamilika na hawana chao tena
4. Majina yao hayawezi kurudi kamati kuu.
5. Ebdapo ccm itawarudisha tena kuna uwezekano wanachama wakawakataa na kiamua kupigia upinzani.

Mwisho siasa haina rafiki wa kweli hata Siku moja.
Kumbuka akina Slaa, Sumaye, Lowassa, Kaburu na Mgwira na wengine wengi.
Na huo ndio mwisho wenu katika siasa
Watch out
 
Watateuliwa nafasi zingine kulingana na taaluma za elimu zao,sio lazima wawe wabunge. Usikalili,Kafulila je?,yule mbunge wa Muhambwe?
 
Hakuna kitu kama hicho ingekuwa chama ni Mali ya wanachama sawa,pia kijani hawategemei box kushinda,box lipo kuuhada ulimwengu ili wasikose misaada, mwenyekiti ndo mwenye maamuzi nani amtakaye,na kurudi lzm uwe na chapa 666 huna chapa katafute Kazi ingine. Kwanza huo uchaguzi 2020 utakuwepo? Je ukihairishwa hela zote zinapelekwa kujenga nchi nani atapinga?
Huu ni itabidi wangu kwa wabunge na madiwani wanaohama vyama vyao kwa sasa na kurudi tena kwenye nafasi zao kwa chama kingine.
Inaonekana kuwa wengi wanaohama vyama na kugombea tena wanafanya hivyo baada ya kiangali upepo wa siasa.
Wengi wanaona kuhamia ccm kuna uwezekano wa kupita bila kupingwa 2020 hill wajue halipo kwa sababu zzifuatazo:
1. Hicho chama kina watu wengi wanosubiria 2020
2. Hawawezi kuaminika tena na wanacxhama
3. Misheni ilishakamilika na hawana chao tena
4. Majina yao hayawezi kurudi kamati kuu.
5. Ebdapo ccm itawarudisha tena kuna uwezekano wanachama wakawakataa na kiamua kupigia upinzani.

Mwisho siasa haina rafiki wa kweli hata Siku moja.
Kumbuka akina Slaa, Sumaye, Lowassa, Kaburu na Mgwira na wengine wengi.
Na huo ndio mwisho wenu katika siasa
Watch out
 
Kwa hali ya kawaida hawatakiwi kuaminika hasa kwa CCM damu,lakini bado hatujui GAME PLAN ya CCM 2020.Ni mapema kutabiri watatumia vigezo vipi?
 
Wanasiasa ni wabinafsi kuliko shetani aisee sio kwamba huko waendako wanakupenda basi tu ni waoga wa future yao. Nasubiria 2020 nione vtuko naomba uzima na afya
 
Huu ni itabidi wangu kwa wabunge na madiwani wanaohama vyama vyao kwa sasa na kurudi tena kwenye nafasi zao kwa chama kingine.
Inaonekana kuwa wengi wanaohama vyama na kugombea tena wanafanya hivyo baada ya kiangali upepo wa siasa.
Wengi wanaona kuhamia ccm kuna uwezekano wa kupita bila kupingwa 2020 hill wajue halipo kwa sababu zzifuatazo:
1. Hicho chama kina watu wengi wanosubiria 2020
2. Hawawezi kuaminika tena na wanacxhama
3. Misheni ilishakamilika na hawana chao tena
4. Majina yao hayawezi kurudi kamati kuu.
5. Ebdapo ccm itawarudisha tena kuna uwezekano wanachama wakawakataa na kiamua kupigia upinzani.

Mwisho siasa haina rafiki wa kweli hata Siku moja.
Kumbuka akina Slaa, Sumaye, Lowassa, Kaburu na Mgwira na wengine wengi.
Na huo ndio mwisho wenu katika siasa
Watch out

Haitajiki mtu kuwa na diploma ya psychology kujua kuwa hao jamaa wanatumika
 
Back
Top Bottom