Tahadhari kwa UKAWA

Tahadhari kwa UKAWA

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
5,966
Reaction score
8,502
Kuna baadhi ya watu wanabeba mabango yaliyoandikwa KASKAZINI IKULU LAZIMA TUENDE, hayo mabango hayana nia njema kwa UKAWA na pia kwa Lowassa. Yapo kwa jili ya kutugawa kwa ukanda na kudiscourage wengne wakanda nyingne. Naomba yadhibitiwe mapema na haraka mno.
 
Hata mie niliona hilo bango likanichefua, lakini sisi wengine tumezaliwa kutokuyumbishwa.
 
Hata wakiyaficha tayari wamechelewa na tushajua nia zao zilivyojaa ukan
 
Hata wakiyaficha tayari wamechelewa na tushajua nia zao zilivyojaa ukanda ..ni bora wayaache tu wala haiwasaidii tena
 
Hata wakiyaficha tayari wamechelewa na tushajua nia zao zilivyojaa ukanda ..ni bora wayaache tu wala haiwasaidii tena

Unachekelea kwa kuwa umesahau. Sio nyie mliotangaza kuwa Urais hauendi kaskazini? Hakuna ukanda hapo. Uamuzi mgumu ni kuwa ccm kwaheriii
 
Nawachukia sana watu wa Kaskazini kutokana na ubaguzi wao
 
kuna baadhi ya watu wanabeba mabango yaliyoandikwa KASKAZINI IKULU LAZIMA TUENDE,hayo mabango hayana nia njema kwa ukawa napia kwa luwasa.yapo kwajili yakutugawa kwa ukanda nakudiscourage wengne wakanda nyngne.naomba yazibitiwe mapema naharaka mno.

Yote hiyo imesababishwa na kauli ya "raisi hawezi kutoka kaskazini".......kwani wao sio watanzania?????
 
Mbona inaeleweka tu kwamba ukawa ni ya huko wasio wa huko walitoka na kutolewa,na urais kamwe hauwezi kwenda huko acha wanogeshe genge kujaza watu viwanjan
 
Sijaona cha ukanda kwa hiyo ambao tunatoka kanda ya Ziwa tumchague pombe kwa sababu hanatoka huko kwa sasa mabadiliko muhimu ukanda pembeni bango siyo issue
 
hayo yote ni kama tu kuwailisha au kujibu ile hoja ya kwamba haitatokea hata one day rais kutoka kaskazin lakin kauli ambayo ilitamkwa na wakuu wa chichiem na wala haikukanushwa mpaka leo; lakin sie wanamabadiliko hilo haliwez kutupa taabu letu ni moja tu nalo ni hili: kura zote kwa EL afanye campeign asifanye kura tunampa tuuuu.... vibaka na bange za lumimba zipishe mbali.
 
Hata wakiyaficha tayari wamechelewa na tushajua nia zao zilivyojaa ukanda ..ni bora wayaache tu wala haiwasaidii tena

Hii vepeee
 

Attachments

  • 1439841077306.jpg
    1439841077306.jpg
    12 KB · Views: 113
Back
Top Bottom