Pole nami nimetapeliwa jumla elfu 55 na mia 5 nimeamua kuwasamehe lkn siku nikimuona atajuta kuzaliwaNaomba muanzishe huo uzi sasa hivi .
Maana kuna jamaa anauza simu anaitwa vieloon aliniliza hela yangu nikamkaushia sijampeleka popote...
Lkn nina uhakika hata baada ya miaka 10 tutakutana tu na atailipa kwa njia ambayo hakuwahi kuiota maisha yake yote..
N.b..picha yake ninayo so nnasubiri siku tutakayokutana nilipize kisasi
Hivi huwa najiuliza unamliza MTU kahela kake tena bila hata huruma ,unapata faida gani ? Mimi nafikiri sasa tuanza kupamban a na hawa jamaa kwa kuwaanika hapa.Naomba muanzishe huo uzi sasa hivi .
Maana kuna jamaa anauza simu anaitwa vieloon aliniliza hela yangu nikamkaushia sijampeleka popote...
Lkn nina uhakika hata baada ya miaka 10 tutakutana tu na atailipa kwa njia ambayo hakuwahi kuiota maisha yake yote..
N.b..picha yake ninayo so nnasubiri siku tutakayokutana nilipize kisasi
Acha upuuzi wewe! Hayajakukuta tu!Hivi mtu anaanzaje kuibiwa humu aseee, duuh wabongo hampo makini
Eti unapata faida gani we jamaa vip yaan me nikuibie elfu50 alfu useme sijapata faida aiseee kuwa seriousHivi huwa najiuliza unamliza MTU kahela kake tena bila hata huruma ,unapata faida gani ? Mimi nafikiri sasa tuanza kupamban a na hawa jamaa kwa kuwaanika hapa.
Jiheshimu! Kama yalishakukuta eleza.Acha upuuzi wewe! Hayajakukuta tu!
Umetisha mzeeHivi ukimtokea memba humu PM mkakubaliana na ukatuma hela mara kadhaa za nauli, salon, michango ya vifo/ bday yake, simu Iphone 10plus na BADO hajakupa papuchi, hii pia si KULIZWA jamani.
Invisible hapo vipi, si naweza kupata msaada nikarudishiwa angalau nusu tu ya gharama zangu?
Woiwoi huu ni uongooHivi ukimtokea memba humu PM mkakubaliana na ukatuma hela mara kadhaa za nauli, salon, michango ya vifo/ bday yake, simu Iphone 10plus na BADO hajakupa papuchi, hii pia si KULIZWA jamani.
Invisible hapo vipi, si naweza kupata msaada nikarudishiwa angalau nusu tu ya gharama zangu?