Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,915
Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Sidhani kama ni wote
Maana wengine ni wacha MUNGU wa kweli
Na hawana tabia chafu:A S-alert1:
Komredi vp? yamekukuta nini?Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Mpwa usipimie, hakika yamenikuta
Dah pole sana kamanda sasa twende wapi misibani?Mpwa usipimie, hakika yamenikuta
Sikusema kuwa ni wote, wala sijasema watu wasiwachumbie, nilicho kisema mimi ni kuwa wachukue tahadhari.
Mpwa usipimie, hakika yamenikuta
Kwasasa group au mkusanyiko wowote wa kijamii una watu wa jinsi hiyo, na si makanisani broda...Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Kwasasa group au mkusanyiko wowote wa kijamii una watu wa jinsi hiyo, na si makanisani broda...
Lkini pia hapo kwenye red UMEHUKUMU haraka sana, maana sisi wengine tunajua kuwa hakuna aliye IMMUNE na dhambi, sasa sijui unamaanisha nini unaposema ni watenda dhambi wakubwa!
Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Mpwa usipimie, hakika yamenikuta
pole sana!Mpwa usipimie, hakika yamenikuta
Pole sana. Bora wa misikitini.
Its a fact....i got one case, ndoa imebidi ivunjwe.....
Hukubadili dini mkuu?