Tahadhari: JIHADHARI NA WACHUMBA WA MAKANISANI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,344
Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
 
Sidhani kama ni wote
Maana wengine ni wacha MUNGU wa kweli
Na hawana tabia chafu:A S-alert1:
 
Ila mi nawaogopa kweli wana kwaya, kila siku wanapeana mimba.
Pale Kijitonyama kuna kwaya moja waimbaji wake wote walipukutika na ngoma
 
Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Komredi vp? yamekukuta nini?
 
Mpwa usipimie, hakika yamenikuta

Pole sana, tatizo lenu mnakimbilia rangi, shape na mambo yanayoendana na utu wa nje badala ya kuangalia utu wa ndani! Wengine wamekimbilia humo kuficha madhambi yao kama wasemavyo waswahili kwamba kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo!
 
Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Kwasasa group au mkusanyiko wowote wa kijamii una watu wa jinsi hiyo, na si makanisani broda...
Lkini pia hapo kwenye red UMEHUKUMU haraka sana, maana sisi wengine tunajua kuwa hakuna aliye IMMUNE na dhambi, sasa sijui unamaanisha nini unaposema ni watenda dhambi wakubwa!

Tatizo ni kwamba yamemkuta, ndio matokeo ya uchungu alio nao!
 
Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.

Its a fact....i got one case, ndoa imebidi ivunjwe.....
 
Buji jamani,kila siku wewe shida,mikosi bahati mbaya na ww?ebu nenda kwenu ukafagilie makaburi maana mjini hupawezi tena.Alafu njoo kule chemba kwetu tuongee.
Mpwa usipimie, hakika yamenikuta
 
Pole sana. Bora wa misikitini.

Popote kila mahali wako wazugaji ni kumwomba Mungu akupe wa kufanana naye na watu waache kwenda kwenye nyumba za ibada kuwinda wapenzi wafanye yanayowahusu na ya wachumba yaje kiziada
 
Hukubadili dini mkuu?

Hakubadili...yupo katika harakati za kuoa tena....ndoa ilivunjwa kikanisa.....simply ilikua beyond repair...
Kama hujaoa mkuu...don look for a wife in a church....tafuta mtaani...
 
Kwenye uhusiano wowote huna haja ya kujiingiza kichwakichwa. mjomba Bujibuji ulijiingiza mazima, ona sasa moyo wako umebemendwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom