sio kwa kuwa jamiiforums you are dare to talk openly basi kila kitu ni cha kukiongea,mwalimu si ndie aliekufanya mpk uweze kusoma na kuandika hapa??!!...usiige!!
sio kwa kuwa jamiiforums you are dare to talk openly basi kila kitu ni cha kukiongea,mwalimu si ndie aliekufanya mpk uweze kusoma na kuandika hapa??!!...usiige!!
Sure mkuu,ni kweli unachosema,tena,haujakosea sana zaid kuwa mwalim ndo alienifundisha lakin pia ndiye alie nilipia ada kabisa,yaani nipo hapa kwa hustle za mshahara wa mwalim ,lakin hicho kitu ni kweli coz mara nyingi alikuwa ananituma ATM unakuta msururu waalimu wenzake 10 wote wanaomba kusaidiwa kutumia machine,wengine ni vijana kabisaa.Kusema ukweli cyo kukosa adabu ,unaweza kuwa mwanzo wa kuanza kuchunguza kuwa kwa nini hali hii ipo hivyo kwao.