No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,834
Umebahatika kusoma mpaka umekua mtu mzima,umejijenga kwa kifupi upo vizuri ukaamua kutafuta mwenza na umefanikiwa kupata mwenza. Mwenza wako umemzidi more than 15yrs yeye under 20.Jua
1.Kwanza jua wewe utaendelea kumlea kipindi ulichomtorosha kwao
2.Tambua kuwa ujana wake hajaufaidi
3.Umakini unahitajika ni mwepesi sana kupokea vishawishi hata vya kukuangamiza.
4.Wanakuwa na heshima sana ila kuwa makini na heshima yao.
5.Kama kuna mengine
Karibuni