Jesusfreak08
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 823
- 1,797
Tafadhali mwerevu nijibie haya maswali kidg kwa ufasaha vzr kabisa na mifano hai ukitaka Google kabisaHakuna kitu kama hicho ni mbinu za kutawala akili za low minded ,kama kupo wanaokumiliki mbona wamekufanya siri ina maana wanavizia watu?unaweza kuhukumiwa bila kuwahi kuingia makubaliano ? kaka huu ni upuuzi ,ina maana wasio na imani zenu hizo walio majority watachomwaaa don be stupid bro fanya kazi kwa bidii mengine uongo
Swali no 1:
Kwanini sisi wanadamu na vyote vilivyomo duniani pamoja na dunia yenyewe tukawepo na chanzo chetu haswa ni nini?
Swali no 2:
Kama kila kitu kimekuja tu na ni asili kwanini sisi wanadamu tumekuja katika maumbile tofauti? Na hali yakuwa asili haibadiliki muundo wake,sifa zake, na wala ubora wake.
SWALI NO 3:
Kwasababu asili haibadiliki, kwa nini sisi tunakufa na wala sayansi haijagundua tiba ya hili?