Tahadhali Maisha unayo ishi, kuishi duniani ni one chance.

Asante kwa kutukumbusha, maisha bila Yesu ni nothing na tunapaswa kutubu toba iletayo wokovu
 
Usitutishe kufa wote tutakufa hakuna atakayeishi milele.Tena nipo njiani kwenda kula konyagi na ganja.
 
Maisha matamu sana kwa hiyo yesu ndio bwana wako?Njoo Temeke unywe bia totoz za kutosha tafuta pesa ule maisha acha ujinga
 
Maneno yako yamenibariki lakini kuna sehem umekosea sana sanaaaa kwa useme mwaka huu au mwezi huu au sa hiii kuna mtu atakufa wewe ni nani mpaka uyajue hayo au umtabirie mwanadam mwenzio kuhusu kifo , aliyekuwa wanaweza hayo ni manabiii rudia kusoma vitabu vya dini na utabalikiwa na hii dhambi ya maneno yako ukayatubu
Ukweli ndio huo unataka kusema na YESU alivyosema acheni wafu wazike wafu wao nae alikosea?utake usitake wewe na mimi ni wafu watarajiwa na ndio sababu tunaambiwa kesheni mkisali kwa maana hamjui siku wala saa atakapo kuja mwana wa Adamu
 
Asante kwa kutukumbusha wateule hasa tunaoishi maisha vuguvugu
Saa yaja nayo ni Sasa wamwabudio Mungu watamwabudu katika Roho na Kweli .

Kwa approach hii ya kiinjilisti hakuna hatakae vuviwa toba mbali na wateule. Neno liko Kama kaa la Moto na shoka liko tayari kwa kukata shingo.
 
Huwa mnaongea lakini target yako imegonga kwa shetani ivi kwani shetani ni mbaya sana?
Tafadhali Nijibu
 
Kumtumikia Mungu au kuishi maisha matakatifu ni jambo binafsi halina mkumbo kabisa kitu unatakiwa kufanya ni kujisogeza mbele za Mungu na kutokatishwa tamaa na chochote hata video ya Gwaji boy sikiliza neno lake na uliishi.
 
Amina ni kweli kabisa MUNGU wa mbinguni akubariki sana maana watu wapo radhi watoe taarifa za ngono lakini ww umejaribu kithubutu kuleta tuamaini hili ambalo linakweli ndani yake .....


Mimi kama Mimi namshukuru MUNGU sana maana kabla ya kuokoka nilikuwa na mambo ambayo yalikuwa yananifanya nikose raha nilikuwa addicted na picha za ngono kipindi kile nipo mdogo na nilikuwa nashindwa kuziacha kabisa lakini baada ya kuokoka

Unashinda zaidi ya kushinda unakuwa na amani isiyo ya kawaida unakuwa na ujasiri usio wa kawaida kuna wakati nilifika mahali nikasema BORA NIFE lakini Leo ninalo tumaini ambalo ata nikikutana na jambo gumu kiasi gani bado furaha ile ile amani ile ile ni mengi amenitendea utukufu kwake tu aliye mweza wa yote

Haleleuya !!!!!

najitafakari upya mchana huu wa leo
 
Mimi nathani badala ya kuogopa kufa nk. Tujifunze kumpenda Mwenyezi Mungu bila condition yoyote. Mungu anatupenda sisi wanadamu sana tu.
Kumpenda kwa moyo mmoja ni pamoja na kuacha dhambi na sio fear of death and punishments.
Mwenyezi Mungu awe pamoja nasi huku tukiendelea kuutafuta uso wake na atusamehee makosa yetu wote.
 
Heri uamini ukute yapo kuliko usiamini ukute yapo utalia na kusaga meno
Hakuna kitu kama hicho ni mbinu za kutawala akili za low minded ,kama kupo wanaokumiliki mbona wamekufanya siri ina maana wanavizia watu?unaweza kuhukumiwa bila kuwahi kuingia makubaliano ? kaka huu ni upuuzi ,ina maana wasio na imani zenu hizo walio majority watachomwaaa don be stupid bro fanya kazi kwa bidii mengine uongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom