Kiufupi kwenye kuoa hakuna vikwazo kivile! Muhimu tu kwa kijana wa kiume aoe mtu ambaye anaendana/anashare naye vitu vingi. Kuanzia hobby, tabia, status, mienendo, kazi(ikibidi), viwango vya elimu, family background, nk. Kinyume na hapo lazima utajuta tu kuoa.