Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 613
- Thread starter
- #21
Inawezakana wewe ni katibu wa wahengaHapo kweny kushika sikio ilikuwa shida sana maana nilikuwa kafupi kadogodogo mkono haufik nikaambiwa nirud nyumban nitaanza mwaka ujao
Kilio gani hcho hapo nilitunguaaaa
