Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,542
- 95,127
😂😂😂😂 babu anakuelewa sana!!Wee ili nigundue nini mi staki!! 😁
Hata lile PDF walivyomkabidhi alifurahi
😂😂😂😂 babu anakuelewa sana!!Wee ili nigundue nini mi staki!! 😁
Acha tu shem jf ina hekahekaa sio kidogoo!!Hii khakhakhaaaa nimeipenda[emoji23]
Ratiba yako ya leo ilivyo ngumu Ila bado umeingia huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana ulikuwa wapi? Kijiwe kili happen mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitazingatia Mjukuu.....hata hivyo kuna wakati huwa nashea ID na Last born wangu isijekuwa wakati huo anachat yeye 🤪😂😂😂😂😂!Kwahizo mambo usipoangalia Na utampoteza Kweli uwe unafanya kwa kuficha babu nawee
Chuma kimeamka 😂😂😂Huyo hadi alichokua anachat na wadada alikua anapeleka kwa wengine. Hatari sana
Mnajuana alafu mtakuja kuwa marafiki sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini? Kwan me na yeye tunajuana?
Offcoz! kwenye usiriasi Sijawahi kuamini kama ni Babu ni Babu😁Halafu inasemekana sio babu km anavyosema, hizo ni swagger zake za kuwavua 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Wanamsema mtu wangu huyu wa nguvu wanataka ninunue hii kesi tuWeee usinambie kumbe sisy Joannah kajiweka kwa babu grahms? Jf ya moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Weee mie tena kha!! Babu angekua mtu wangu saii nisingekua naongea naeee Nilivo na wivuuu mimi nakubalijee kirahisi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!😂😂😂😂 babu anakuelewa sana!!
Hata lile PDF walivyomkabidhi alifurahi
[emoji23][emoji23][emoji23]Udugu babu wa moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kila mtu anajua anayetoka naye
Hili nalikubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila babu wa mi PDF alitisha aiseee!!! Jf wanaume wambea kuliko wanawake
Babu mtu mbad sana walaii weka Mbali na mabintiiii🤠🤠🤠🤭Halafu inasemekana sio babu km anavyosema, hizo ni swagger zake za kuwavua 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Acha tu sasa nafanyaje? Tuachane nayo plsRatiba yako ya leo ilivyo ngumu Ila bado umeingia huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado huamini? Ww utakua umeahidiwa nafasi ya Spika TuliaManeno matupu bila picha tutakuaminije?
Khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Babu arudi atoe ajira [emoji23][emoji23][emoji23]
Na nani? Urafiki upi huo?Mnajuana alafu mtakuja kuwa marafiki sana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokooo weeTufanye Old killer kabisaa sio Young killer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!
Nae anazipangaaa balaaa humu [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1787]
Yes usiwajibu wapotezee tuUnasumbuliwa na wale vilaza unabishana nao mi nimewaambia eeh nadanga shida Nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hii habari ya kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona haijanifikia kwenye meza yangu?