Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,219
Umeanza 😂😂😂Mjanja huyo alikua anakutaka[emoji23]
Anajua sana kusukuma kete[emoji23]
Mshamba tunaheshimiana na amekubali me shemeji yake.
Yupo km sisy Joa analinda mali ya kaka
Umeanza 😂😂😂Mjanja huyo alikua anakutaka[emoji23]
Anajua sana kusukuma kete[emoji23]
Ni nani? Ukitaja huwezi kupigwa banKantry niache [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri niikatie bima I’d ndio nimtaje
Mwenye kampuni zake daslamuBabu ni nani?
Leo weekend muda upo wa kutosha, usiwe unaweka codes wengine hatuwajui watu wengi huku[emoji23]
[emoji23][emoji23]Umeanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Mshamba tunaheshimiana na amekubali me shemeji yake.
Yupo km sisy Joa analinda mali ya kaka
Umechoka kuniona? 😂😂😂Ni nani? Ukitaja huwezi kupigwa ban
Tatizo husemi ni nani?Mwenye kampuni zake daslamu
Coca alitaka kupewa kazi, sasa nimemchachua sponsor wake na kibarua kikaota nyasi [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 unauza id?Ilee ya zamanii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu kanikalia kooni, anataka hii I'd.
Yaan siku nikiwa na ugwadu wa maokotoo namuachiaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁😁😁😁bodaboda!!We endesha bodaboda tuweke mshikaki,mbele Manka Mimi nyuma ya Manka Carina yote hiyo ya Nini bby😅😅?
🤣🤣🤣Honda... mzima lakini?😁😁😁😁😁😁bodaboda!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa,[emoji23][emoji23][emoji23] una ngozi ngumu sana, jf yote tulikua tunakuchukia tukaweka hadi kupiga kura uondolewe. Mm nikasimamia zoezi, sema uliondolewa kweli, sijui ulirudi vipi tena[emoji23][emoji23]
Una ngozi ngumu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila zile mada zako sasa hivi umeacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshee bhanaa.[emoji23][emoji23][emoji23] Afu wote wamekimbia na babu yao
Kuna siku member mmoja alianzisha selfika part 2 zikamiminika foto humo aloooo
Ghafla uzi ukaliwa kichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kampuni km kampuni,Mwenye kampuni zake daslamu
Coca alitaka kupewa kazi, sasa nimemchachua sponsor wake na kibarua kikaota nyasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni yule anakaaga USB nini?😅😅😅😅Nini kutuchosha na code bwanaMwenye kampuni zake daslamu
Coca alitaka kupewa kazi, sasa nimemchachua sponsor wake na kibarua kikaota nyasi 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uduguu mtu anataka I'd, niache maokotoo, nikiwa na uraru na faranga nampaa tyuuh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unauza id?
Utaachika tushindwe kukutetea tena kwa mmeo?
Ile id ina kumbukumbu nzuri za hekaheka zangu na shemejio labda nikupe hii
Ila ukitapeli vichambo vyote napewa me dada ako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa we hutaki kupitwaa.Ni yule anakaaga USB nini?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nini kutuchosha na code bwana
Kumbe ni national antem? [emoji23]Mwenye kampuni zake daslamu
Coca alitaka kupewa kazi, sasa nimemchachua sponsor wake na kibarua kikaota nyasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo anaitwa babu migambuti scammer moja hivi la kihaya lilitaka kumuingiza chaka cocastic 😂😂😂Ni yule anakaaga USB nini?😅😅😅😅Nini kutuchosha na code bwana
Wala usipate shida nishamjua, ni yule national antem.Ni yule anakaaga USB nini?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nini kutuchosha na code bwana
Acha tamaa 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uduguu mtu anataka I'd, niache maokotoo, nikiwa na uraru na faranga nampaa tyuuh.