Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,542
- 95,127
Tawile boss 😂😂😂Mheshimu nyonga mkalia ini tafadhali "manzi" 🤣
Embu tafuta jina lingine mama fulani,mke wa..,mrs ... etc.
Katibu kakushika pabaya sana, alipo upo
Tawile boss 😂😂😂Mheshimu nyonga mkalia ini tafadhali "manzi" 🤣
Embu tafuta jina lingine mama fulani,mke wa..,mrs ... etc.
Eee sasa disco lishaingia masai, bora tukafanye kilimo cha watoto 😂😂😂Mkalale😂😂😂
Nimekufa nimeoza,🤣Tawile boss 😂😂😂
Katibu kakushika pabaya sana, alipo upo
Haya, mkalale na hii mvua😂Eee sasa disco lishaingia masai, bora tukafanye kilimo cha watoto 😂😂😂
Nimeona na bibie naye kazama penziniNimekufa nimeoza,🤣
Hii mvua lazima tuitendee haki 😜Haya, mkalale na hii mvua😂
🤣🤣🤣🤣 kheee! Unanichora tu au sioNimeona na bibie naye kazama penzini
Wakati kina mshamba wakimchombeza anawafurusha, ila kwako aaah kalegea anajichekea tu 😜
🤣 Muda wa kifungua kinywa na mnalala nini...😂😂😂😂 Ushaniharibia biashara haya twende tukalale
Haya, nitaleta baby showerHii mvua lazima tuitendee haki 😜
Mahaba ndivyo yalivyo hivyo😋Nimeona na bibie naye kazama penzini
Wakati kina mshamba wakimchombeza anawafurusha, ila kwako aaah kalegea anajichekea tu 😜
Nakuona mdogo angu umezama mpk na mizimu ya kwenu, husikii la muhadhini wala mnadi swala 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 kheee! Unanichora tu au sio
Nimekumbuka asee huyu mis eyez si ndio mshamba anampendaga sana?Nimeona na bibie naye kazama penzini
Wakati kina mshamba wakimchombeza anawafurusha, ila kwako aaah kalegea anajichekea tu [emoji12]
🤣🤣🤣 haswa.Nakuona mdogo angu umezama mpk na mizimu ya kwenu, husikii la muhadhini wala mnadi swala 😂😂😂
Tunaenda kutafuta watoto 😜🤣 Muda wa kifungua kinywa na mnalala nini...
🤣🤣🤣 Mshamba anapenda kila mtuNimekumbuka asee huyu mis eyez si ndio mshamba anampendaga sana?
Dogo ana gundu sana yule
😍😍😍 Hapo ndio umeongea kitu cha maana sasaHaya, nitaleta baby shower
Jongeeni niwapikie magimbi mpate nguvu ya kujaza hii sayari😅Tunaenda kutafuta watoto 😜
Mwezi wa saba au nane nafikiri mambo yatakuwa sawa 😂😂😂😍😍😍 Hapo ndio umeongea kitu cha maana sasa
Alafu wote wanamkataa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mshamba anapenda kila mtu