Muuzaji ananipa mashaka 😅,au tumpatie tu ikienda no sadaka tumefanya?Mimi nipo kwa ajili yako, so nakusikiliza kila kitu.
😂 ngoja tuangalie msimamo wake tumuungishe babeMuuzaji ananipa mashaka 😅,au tumpatie tu ikienda no sadaka tumefanya?
🤣Ananipa mashaka na hiyo forehead yake sijui ndio ya kukingia jua la Dar es salaam lisimchome.😂 ngoja tuangalie msimamo wake tumuungishe babe
Nashauri tumkazie aseme ukweli😂🤣Ananipa mashaka na hiyo forehead yake sijui ndio ya kukingia jua la Dar es salaam lisimchome.
Amesahau umeulizia african purse na hajajibu sasa sijui anasubiri niniNashauri tumkazie aseme ukweli😂
Ndio nashangaa hata mimi😂Amesahau umeulizia african purse na hajajibu sasa sijui anasubiri nini
Usishangae hata Tote bags hana😅Ndio nashangaa hata mimi😂
Ngoja aje atupe maelezo😂Usishangae hata Tote bags hana😅
Biashara unafanya Ila sio rejareja, acha kusumbua watu wa jf[emoji23]Kwani sifanyi biashara kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Lamomy anawazingua, biashara anafanya Ila sio hiyo na sio ya vijoraHivi babe unauza zile African purse?
🤣🤣🤣🤣 Wewe na manzi wako naona hamtaki tufanye biashara mshaanza majunguUsishangae hata Tote bags hana😅
Una nini? 😂😂😂Biashara unafanya Ila sio rejareja, acha kusumbua watu wa jf[emoji23]
😂😂😂😂 Ushaniharibia biashara haya twende tukalaleLamomy anawazingua, biashara anafanya Ila sio hiyo na sio ya vijora
Mheshimu nyonga mkalia ini tafadhali "manzi" 🤣🤣🤣🤣🤣 Wewe na manzi wako naona hamtaki tufanye biashara mshaanza majungu
Mkalale😂😂😂😂😂😂😂 Ushaniharibia biashara haya twende tukalale