Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Hahahahahahaha. Kweli hii dunia vipaumbele ni tofauti sana katika maisha. Wakati wengine vipaumbele vikiwa ni mifumo ya sayari na masatelaiti na wapo huko angani wengine vipaumbele ni urijali. Ila upo sawa. Vijana waoe sababu ngono ni basic need.
 
Ndiyo muoe Sasa..siyo kila kukicha na **** mpya Kuna maradhi shenzyy
Na nyie mkubali kuletewa wake wadogo sio mnaanza leta fyoko fyoko oh mie ndoa ya wake wengi sitaki.

Niulize tuu jamani hivi ndoa ya wake wengi unaruhusiwa kupiga threesome/ foursome nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…