Tafuta hela

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,947
Reaction score
845,968
Tafuta hela hakuna mzee wa miaka 60.

Tafuta hela V8 Sio gari za selikari.

Tafuta hela usiwe unalala na gesi chumba

kimoja haupo ICU wewe.

Tafuta hela uache kusema weka chipsi za kushiba.

Tafuta hela weekend sio siku ya kufua.

Tafuta hela kuku ana vipande viwili tu.

Tafuta hela uache kununua nguo kwa kuinama.

Tafuta hela mb500 sio za kutumia wiki.

Tafuta hela uache kujitambulisha sana.

Tafuta hela huna ndugu wachache hivo.

Tafuta hela hakuna mwanamke anaechoka usiku.

Tafuta hela mwanamke hakai mbali na simu ww.

Tafuta hela hata maharage yanapikiwa kwenye gesi.

Tafuta hela😂😂😂
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…