Tafuta hela uache kulala na mtungi wa gesi Kama upo ICU

Pununkila

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
689
1,692
Tafuta hela uache kulala na mtungi wa gesi Kama upo ICU

Tafuta hela hata maarage yanapikwa kwa gesi

Tafuta hela uache kununua nguo kwa kuinama

Tafuta hela wewe hakuna mwanamke anaechoka usiku

Tafuta hela uache kusema weka chips za kushiba

Tafuta hela hauna ndugu wachache.

Tafuta hela uache kujitambulisha Sana...

Tafuta hela kuku Ana vipande viwili

Tafuta hela v8 sio gari za serikali

Tafuta hela weekend sio siku ya kufua

WENGINE WAENDELEE tuwasaidie vijana..
 
Nimecheka hapo kwenye V8 sio gari ya Serikali, maana wengi wakiziona wanaona gari Serikali tu 😂😂😂😂😂
 
Hii sentensi imeanza hata ww ujazaliwa lakini badohuko kwenu maskini wa kutupwa.
 
Tafuta hela uache kulala na mtungi wa gesi Kama upo ICU

Tafuta hela hata maarage yanapikwa kwa gesi

Tafuta hela uache kununua nguo kwa kuinama

Tafuta hela wewe hakuna mwanamke anaechoka usiku

Tafuta hela uache kusema weka chips za kushiba

Tafuta hela hauna ndugu wachache.

Tafuta hela uache kujitambulisha Sana...

Tafuta hela kuku Ana vipande viwili

Tafuta hela v8 sio gari za serikali

Tafuta hela weekend sio siku ya kufua

WENGINE WAENDELEE tuwasaidie vijana..
Hili la Maharagwe kuivishwa kwa Gesi sijakubali mkuu, hata MO hathubutu..
 
Hili la Maharagwe kuivishwa kwa Gesi sijakubali mkuu, hata MO hathubutu..
Unaivisha tu mkuu.
Ngoja nikupe technic. Chambua maharage yaloweke masaa 2. Kisha washa gesi yako moto mdogo bandika maharage yako ndani ya dk 20 yatakuwa tayari
 
Unaivisha tu mkuu.
Ngoja nikupe technic. Chambua maharage yaloweke masaa 2. Kisha washa gesi yako moto mdogo bandika maharage yako ndani ya dk 20 yatakuwa tayari
Yaani dk ishirini gesi inawaka tu
 
Tafuta hela hakuna mwanamke anaekataa kuolewa mke wa pili.

Tafuta hela mademu hawapagawishwi na vifua.

Tafuta hela uache kujitambulisha sana kwani hakuna asiyekujua.

Tafuta hela Bank hawakatazi kuongea na simu.

Tafuta hela Traffic hawakimbiwi hao ni wenzetu wa kupiga nao story.

Tafuta hela uache kutoka mishipa ya kichwa jukwaa la siasa.
 
Tafuta hela iPhone ya mil 3 sio anasa
Tafuta hela pombe sio mbaya
Tafuta hela wenye nyumba mbona washkaji tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom