P Pricillah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 722 Reaction score 261 Jun 1, 2017 #21 Tukuulize kwanza wewe mawazo yako unaonaje, na kwa uzoefu ulio nao hata mdogo kwamba uhusiano wa hivyo viwili ni upi?
Tukuulize kwanza wewe mawazo yako unaonaje, na kwa uzoefu ulio nao hata mdogo kwamba uhusiano wa hivyo viwili ni upi?
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,547 Reaction score 112,187 Jun 1, 2017 #22 Webb said: Wakuu hii kauli nilikua nikiambiwa na marehem baba. Hivi ina maana gani, kwa sababu alikua akinambia kipindi nasoma na mimi nilikua nachukulia kawaida sana Na hata mtaani uwa naiskia sana.Hivi ela na mke mzuri vinaendana vipi? Click to expand... Kama ingekua ni kweli..... Basi Zari (The boss Lady) asingemuacha Ivan (The don)
Webb said: Wakuu hii kauli nilikua nikiambiwa na marehem baba. Hivi ina maana gani, kwa sababu alikua akinambia kipindi nasoma na mimi nilikua nachukulia kawaida sana Na hata mtaani uwa naiskia sana.Hivi ela na mke mzuri vinaendana vipi? Click to expand... Kama ingekua ni kweli..... Basi Zari (The boss Lady) asingemuacha Ivan (The don)
Papupi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,030 Reaction score 3,258 Jun 1, 2017 #23 Maana yake bila mkwanja thabiti, watoto wazuri utaendelea kuwaita shemeji
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,429 Reaction score 191,661 Nov 16, 2020 #24 Willymnairobi said: Hivi mtu akiwa na pesa anachowaza ni wanawake tu Click to expand... Sasa kama ukinywa pombe za elfu 20 ukatosheka kinachofuata ni nini?
Willymnairobi said: Hivi mtu akiwa na pesa anachowaza ni wanawake tu Click to expand... Sasa kama ukinywa pombe za elfu 20 ukatosheka kinachofuata ni nini?