Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,753 699,394 Dec 6, 2017 Thread starter #344 kinundu said: hii pic imeongea Click to expand... Hebu dadavua
kinundu JF-Expert Member Oct 12, 2016 2,029 2,129 Dec 6, 2017 #345 mshana jr said: Hebu dadavua Click to expand... Huyo ambaye hajanyanyua mguu juu yupo Liverpool sasa kauzwa huu msimu inaonesha hakua na furaha
mshana jr said: Hebu dadavua Click to expand... Huyo ambaye hajanyanyua mguu juu yupo Liverpool sasa kauzwa huu msimu inaonesha hakua na furaha
Deadbody JF-Expert Member May 30, 2015 4,276 6,587 Dec 6, 2017 #346 Kuna picha ya bendi fulani walikufa kutokana na walivyopiga picha
tetee JF-Expert Member Apr 22, 2012 784 855 Dec 7, 2017 #347 kinundu said: picha itaongea hii tusubiri Click to expand... tusubiri
P pilipili kichaa JF-Expert Member Sep 3, 2013 17,772 13,841 Dec 7, 2017 #348 Mkuu mshana naomba kuwasiliana nawe inbox sijui nakupataje mkuu
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,753 699,394 Dec 7, 2017 Thread starter #349 pilipili kichaa said: Mkuu mshana naomba kuwasiliana nawe inbox sijui nakupataje mkuu Click to expand... Karibu bila shaka
pilipili kichaa said: Mkuu mshana naomba kuwasiliana nawe inbox sijui nakupataje mkuu Click to expand... Karibu bila shaka
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,753 699,394 Dec 7, 2017 Thread starter #351 Olomi Pantaleo said: Click to expand...
Myangu JF-Expert Member Dec 15, 2012 7,183 9,722 Dec 7, 2017 #353 Aiseee hiii kitu naifuatilia kwenye picha zangu za zamani
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 82,532 95,935 Dec 7, 2017 #355 Mazuzu wa CCM hawawezi kukuelewa kirahisi.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,753 699,394 Dec 7, 2017 Thread starter #356 lazalaza said: Aiseee hiii kitu naifuatilia kwenye picha zangu za zamani Click to expand... Mrejesho?
lazalaza said: Aiseee hiii kitu naifuatilia kwenye picha zangu za zamani Click to expand... Mrejesho?
Myangu JF-Expert Member Dec 15, 2012 7,183 9,722 Dec 7, 2017 #357 mshana jr said: Mrejesho? Click to expand... 100 % kuna ukweli, maana wengine wamekufa kwa kufuatana, mwingine wamekuwa maadui sana.
mshana jr said: Mrejesho? Click to expand... 100 % kuna ukweli, maana wengine wamekufa kwa kufuatana, mwingine wamekuwa maadui sana.