Ifafanue kidogo mkuu hii, japo naona John ngahyoma na Nyaisanga wako upande mmoja (RIP)
Wote wanatuhuma kwenye mali za chama
Aisee unajua we jamaa natamani sana siku moja tuonane, kuna mada nyingi unaletaga huku sometimes kuna watu wanaweza wasikuelewe lakini mambo mengi sana yapo na huwa yanaanzia katika ulimwengu wa roho kabla yakuja kiuhalisia.Hee kumbe tayari umeshafanya mambo
Aisee unajua we jamaa natamani sana siku moja tuonane, kuna mada nyingi unaletaga huku sometimes kuna watu wanaweza wasikuelewe lakini mambo mengi sana yapo na huwa yanaanzia katika ulimwengu wa roho kabla yakuja kiuhalisia.
karibu Msata