ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,841
- 6,014
Anaangalia na sura...ile sura ya kamanda si ya kitoto mzawa?Hivi Makonda anaweza kumtuma Comando kamanda Muroto
Anaangalia na sura...ile sura ya kamanda si ya kitoto mzawa?
Mbwa koko mnajifariji[emoji23] [emoji23]Mbwakoko si mbwa koko kwa kiingereza Slum dog no mbwa asiyefugika, hana mmiliki anayemtunza. Maana uliyoitoa si sahihi. usemi kipigo cha mbwakoko unatokana na mazoea ya watu kumpiga anapoonekana mtaani hata bila kosa.
Ilikuwa anaitwa Al_sahaf. Yeye walikuwa akiongea kwenye TV, background inaonyesha wamarekani wanavoshambuliwa! Na wakati wamezidiwa kbs anajiandaa kukimbia bado walikuwa anasisitiza Baghdad ndo kaburi la wamarekani!! Ni muongo kuliko jiwe!Kiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
Umenikumbusha mbali sana. Aliitwa Al- Sayaf kama sijakosea. Ila aliishia kujinyonga ili asikamatwe na majeshi ya NATO.Kiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
HahahahaWay back niliwahi kuishi mwanza pale, RPC huyu Muroto alikuwa OCS wa kituo cha igogo...alikuwa katili na asiecheka na Nyani wala kuangalia sura those days...alikuwa mtu ambae ni workaholic and mtu anaependa attention sana.
But Alikomesha wahuni wa kule igogo OPEC waliokuwa wamepinda na kushindikana Mwanza ila kwa huyu mzee wote walifyata na kusilimu amri.
Lile biti lake la jana lilitosha kabisa kutuweza "mbwa koko wote wa ndani na nje ya nchi"
Nawasalimu mbwa koko wenzangu kwa jina letu lile.
AiseeMbwakoko si mbwa koko kwa kiingereza Slum dog no mbwa asiyefugika, hana mmiliki anayemtunza. Maana uliyoitoa si sahihi. usemi kipigo cha mbwakoko unatokana na mazoea ya watu kumpiga anapoonekana mtaani hata bila kosa.
Al Sahaf,, sijui kama nimepatia jina, alikamatwa na wamarekani lakini baadae aliachiwa maana waliona kazi yake ilikuwa kama ya Haji Manara au Polepole, kupiga domo tuKiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina