Tafsiri ya neno Mbwa koko

Unaambiwa Mange alipigwa kipigo cha mbwa koko na baba yake mzazi mpaka akazaa ndugu yake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo keshapinda
 
Hiyo yote ni kwa sbb hata yy alikua anahofia mbwa koko hao. Mbwa koko wakiwa zaidi ya mmoja ni mbwa chezea kupigwa chini na mbwa koko wewe.
 
Mimi napendelea Amani na utulivu na pia haki kwa wote. Ni muhimu viongozi kutumia lugha inayofaa na kuonyesha mfano wa utu na heshima hata kama ujumbe wako ni kuwa hutaruhusu maandano
 
Nafurahigi sana nikimsikiliza huyu dingi akihoji watuhumiwa.
Kuna clip moja anamuuliza jamaa, wewe umeandika I love you hapa kifuani inakusaidia nini?.
Jamaa, nisanaatu,
kamanda aaaanisanaa ya nini, kunasanaa inasema I love you?
Jamaa kimya.
Kamanda, we kabilagani? Jamaa mimmakonde.
Kamanda, mmakonde!!!,kunammakonde anajua I love you makonde?
Jamaakimya.
Kamanda,unaona tunapoteza nguvukazi. Mwisho wa kunukuu.
 
Mi naona kama huyu Kamanda mroto atampindua Magu na kuchukua nchi kama Magufuli
 
Mi naona kama huyu Kamanda mroto atampindua Magu na kuchukua nchi kama Magufuli
 
Tengua kauli, Hakuna mtoto humu, Umesema MBWA KOKO maana yake ni maandamano ya kuvuruga amani?
Bangi zingine mvutie chooni. Mchafuzi wa lugha wewe!
 
Sura yake ilimfaa sana kuwa Mkuu wa Majeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…