mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Ni neno maarufu sana katika uzuiaji maandamano, ni neno ambalo limeweza kuzima kabisa maandamano ya Mange, ukali na sura ya ujasiri na kuongea kwa utashi alikotumia RPC wa Dodoma kuliweza kabisa kudumisha Amani siku ya tarehe 26.04.2018.
Kwa kutumia neno mbwa koko neno ambalo watanzania hawakulala siku ya tarehe 25 kwa kuhofia kipigo toka jeshi la Police.
RPC wa Dodoma ndiye aliyeweza kufanya mpaka dodoma ikawa jiji kwani alifanya kazi nzuri sana ya kuzima maandamano.
Sasa neno "MBWA KOKO" maana yake ni watu au mtu yeyote anaefanya maandamano ya kuvuruga amani na yasiyo na kibali. Nadhani hakuna Mtanzania anapenda kuwa mbwa koko
Ha ha haaa! Yule mzee mpk BBC waliojiandaa kutoa habari za machafuko ya Tz wameumia na kuufyata!! Yule dingi anamkwara wa kivampaya!!Way back niliwahi kuishi mwanza pale, RPC huyu Muroto alikuwa OCS wa kituo cha igogo...alikuwa katili na asiecheka na Nyani wala kuangalia sura those days...alikuwa mtu ambae ni workaholic and mtu anaependa attention sana.
But Alikomesha wahuni wa kule igogo OPEC waliokuwa wamepinda na kushindikana Mwanza ila kwa huyu mzee wote walifyata na kusilimu amri.
Lile biti lake la jana lilitosha kabisa kutuweza "mbwa koko wote wa ndani na nje ya nchi"
Nawasalimu mbwa koko wenzangu kwa jina letu lile.
Ahahaha! Type yake ni mabaki ya mamwela wa enzi za Mwalimu wale waliosonga mbele Uganda kule mtukula..Ha ha haaa! Yule mzee mpk BBC waliojiandaa kutoa habari za machafuko ya Tz wameumia na kuufyata!! Yule dingi anamkwara wa kivampaya!!
Tena marekani walipoingia nchini mwao ndio akasema wameingia kwenye mtego na wamekwisha, hatatoka hata mwanajeshi mmoja.Kiboko alikuwa yule waziri Saddam Hussein wa Iraq,
Alikuwa anatisha majeshi ya marekani!
Nmemsahau jina
kwanza hakukuwepo na Maandamano yoyote ya Mange Kimambi hapa Jiji la Dodoma au Nchini TanzaniaNae ni MBWA KOKO
Akiwa OCS kituo kipindi hicho kipo pale MWATEX usiombe umkute afande mroto utajuta kwanini paka havuki mto sura mavi haina hata chembechembe ya tabasamu niliposikia ni rpc dom nikajisemea moyoni hiii
Mbwakoko si mbwa koko kwa kiingereza Slum dog no mbwa asiyefugika, hana mmiliki anayemtunza. Maana uliyoitoa si sahihi. usemi kipigo cha mbwakoko unatokana na mazoea ya watu kumpiga anapoonekana mtaani hata bila kosa.Ni neno maarufu sana katika uzuiaji maandamano, ni neno ambalo limeweza kuzima kabisa maandamano ya Mange, ukali na sura ya ujasiri na kuongea kwa utashi alikotumia RPC wa Dodoma kuliweza kabisa kudumisha Amani siku ya tarehe 26.04.2018.
Kwa kutumia neno mbwa koko neno ambalo watanzania hawakulala siku ya tarehe 25 kwa kuhofia kipigo toka jeshi la Police.
RPC wa Dodoma ndiye aliyeweza kufanya mpaka dodoma ikawa jiji kwani alifanya kazi nzuri sana ya kuzima maandamano.
Sasa neno "MBWA KOKO" maana yake ni watu au mtu yeyote anaefanya maandamano ya kuvuruga amani na yasiyo na kibali. Nadhani hakuna Mtanzania anapenda kuwa mbwa koko