Tafsiri kwa lugha ya kiingereza

Tafsiri kwa lugha ya kiingereza

Wanajamvi naomba mwenye kujua anijuze kwa kiingereza kile kitu ambacho huwa kinaning'inia mwishoni mwa mkungu wa ndizi, ni cha rangi ya damu ya mzee ,mara nyingi baada ya ndizi kuchanua chane zake vizuri hukatwa.

Kwa wakazi wa mkoa wa Kagera huita ’’endilalila‘‘
Kichaga ch a home tunakiitaga "songaa" hua kuna vinyonyo vyake vikidondokaga tunavinyonya ndani vipo kama vimakamasi fulani yaani ni vitam balaa viasali vyake !
 
Back
Top Bottom