TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Kama hawa!!
 

Attachments

  • shaq-1-300.jpeg
    shaq-1-300.jpeg
    24.4 KB · Views: 144
Hivi huu ufupi unaoongelewa hapa ni wa kimo gani?

swala la ufupi sio dili sana coz hata wewe ukikutana na mtu njiani kwa kumuangalia tuu utajua huyu ni mfupi, huyu ni wa wastani au mrefu it doesn't need mathematical figures!
 
Sioni kama kunatatizo kivile Mungu aliumba sawa hata uwe mrefu kiasi gani au mfupi xana lakini mkilala pamoja kimo za viuno vyenu hulingana so if you don't know that test your self
 
experience nliyonayo; wanawake weng wenye uref wa 5fts au pungufu hujifungua kw njia ya operation...hyo ndo weakness yao
 
mdada jamani mbona unachokonoa sana......hahahahaaaa!!! stuli, vigoda, meza. ndoo etc vinatumika sana!!!! halafu huo utofauti ndo unaoongea hamasa..............

hujambo lakini binti sayuni.....msusi gani huyo alokutengeneza umetokezea ile mbaya!!!

Sijambo dear.Mie nimekumiss tu. Kuchokonoa muhimu mpenzi..
Btw msusi wangu ni Bishanga ..Ana saluni siku hizi Tandale.
 
Last edited by a moderator:
hahaa morogoro watu wafupi kibao sana afu sie wazee wa lake zone tumepanda sana hewani so twaogopa kushtakiwa...well kina mbilikimo si wanakuwa na mbilikimo wenzao so it the same species
kwa hiyo sie wafupi lake zone hatuna soko?
 
we acha negativity zako! mbona wakongo ni wafupi lakni wanazaa freshi, acha kukoxoa uumbaji wa mungu.
 
kuumia kwa wanawake kunatokana na kutayarishwa vibaya kabla ya tendo lenyewe na hii haina ya mwanamke mfupi wala mrefu wala mnene wala mwembamba!

Mwanamke lzm aandaliwe vya kutosha na lzm awe wet mno na kumbukam juicy ile kazi yake maalum ni kumfanya asiumie!Ndugu yangu hata kaulimi haukapitishi kule mahali kwa sababu tu mke wako ni mrefu?

Hata awe mrefu kama ngongoti kama tu ukitoka huko na mapombe yako unachomeka ataumia tu!KUUMIA HAKUNA KIMO NI UKOSEFU WA MATAYARISHO TU!
 
Wana JF

Jifunzeni kufanya TAFITI ndio muanze kuongea ongea,mnasababisha JF inapoteza CREDIBILITY yake,

NO RESEARCH/DATA NO RIGHT TO SPEAK(MAO)

Elisante Yona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom