TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Chanzo: East Africa Radio

=============




Chanzo: The Telegraph - UK

Zaidi, gazeti la Mirror linaandika:

 
...labda kwakuwa inapokuja kwenye masuala ya malovee bi mrembo inambidi ainame au achuchumae kabisaa ili (kibosile) akumbatiwe au kupigwa mabusu!
 
...labda kwakuwa inapokuja kwenye masuala ya malovee bi mrembo inambidi ainame au achuchumae kabisaa ili (kibosile) akumbatiwe au kupigwa mabusu!

brazameni, mwanakijiji na koba nasikia ni vijeba, ngoja tusubiri maelezo yao!!
 
brazameni, mwanakijiji na koba nasikia ni vijeba, ngoja tusubiri maelezo yao!!

Steve,
Mimi ni kijeba pia.

Huwa najisikia hovyo sana my O'lady anapotundika high heels.

Nilijaribu kupiga nondo, lakini ndio zikanifanya nizidi kwenda chini.

Inabidi nitembee kitemitemi kila ninapokuwa kwenye public na mwenzangu. Hii inanifanya nijisikie angalau kijeba cha shoka...
 

.... , si umecheck na mkjj anavyoandika.... utafikiri harakati zake zinamriwadha kwa kumwongezea inchi mbili tatu za urefu.... lol

.... nakumbuka kuna jamaa mmoja tulikuwa naye secondary, daah jamaa alikuwa mfupi bana, uzuri alikuwa mtu mcheshi sana hivyo kutaniwa hakujali maana naye alipenda utani ile mbaya... kulikuwa na tobo kwenye mlango, tulikuwa tunaliita 'tundu la ..(jina lake)...' Basi na kwa kuwa alikuwa classmate wangu wa muda mrefu, katika hilo nimejifunza kuwa watu vijeba, hasa wanaume (sijui mabinti) ni wabishi sana... sijui nawe uko hivyo?!! i don't know, maana maongezi yako hapa jf hayaoneshi hilo... lol
 
Shishi, nakuomba u edit hiyo signature yako... nadhani ukiweka sh****t itakuwa poa zaidi kwa wengine wetu ambao internet zinakuwa blocked na maneno madogo madogo kama haya... thanx..
 

.....vaa 'vistuli' a.k.a laizoni ili vikuongezee inch kadhaa. lakini kuna mademu wengine 'lofombo' wanazimia vijeba, check kama yule minimi wa austin powers ana bonge la demu yaani. derrick coleman nimeona juzi nae kaoa choposi ya kitasha safi tu, ingawa inamzidi urefu..............tatizo mademu wengine wana-correlate urefu wa mtu na ukubwa/urefu wa "dudu mende/mguu wa kati," ukweli ni kwamba, biologically hakuna uhusiano wowote hapo!!.
 
ha ha ha ha, kiswahili bwana, kweli kinakua..... eti 'dudu mende'... duuh!!
 
.... , si umecheck na mkjj anavyoandika.... utafikiri harakati zake zinamriwadha kwa kumwongezea inchi mbili tatu za urefu.... lol

Unajua ni muhimu kutafuta kitu kitakachoweza ku-over shadow mapungufu. Kwa hiyo inawezekana mwanaharakati wetu ilibidi atafute kipaji kitakachomweka kwenye ramani....lol.

Wengine bado tunatafuta fani ya kujipenyeza!


Kiongozi
Tatizo laizoni zimeni affect kiakili. Nilipokuwa kijana mdogo, nilishawahi kurithi laizoni za mzee. Sasa siku moja nikauramba nazo, kasheshe niliyoipata mtaani, ni balaa tupu! Nakumbuka siku hiyo nilitilia ile kishenzi yaani. Juu nilipiga shati la uji uji, katikati nikavaa suruali ya mchele mchele, na chini ndo nikadunda na laizoni. Duh, yani ile nimetoka tu mtaani, majirani wacha waanze kuncheka yaani. Kwani hata mtaa wa pili nilifika, ilibidi nigeuze mbio ndani. Toka siku hiyo sina hamu nazo tena!

Anyway, unajua sisi wanaume wafupi tuna kazi ya ziada sana. Yani kila kitu inabidi tufanye mpaka kwenye pumzi yetu ya mwisho. Sasa haya mambo gani tena.....aaaaaagh!!!!

Gademu!
 
Nadhani waume wengi ambao ni wafupi exhibit what is called 'short man syndrome'(dfn

(An angry male of below average height (5 ft and below) who feels it necessary to act out in an attempt to gain respect and recognition from others and compensate for his abnormally short stature)

Society zetu pia zinaridicule short men and thus they feel that they are not as competitive as their taller bros for taller ladies. jamani sasa itabidi kuchuchumaa kumpiga busu mshikaji???

Someni hii article for more:
http://www.telegraph.co.uk/earth/main.jhtml?xml=/earth/2008/03/13/scishort113.xml
 
Hivi tunaruhusiwa kuwatania wafupi??

I personally think its wrong kuwatania wafupi. Societal stereotypes about short pple (men and women) are unfair and wrong.

On the other hand, pia kuwatania kunawafanya watilie bidii other areas of their lives in which they are good at kama wanasarakasi, wacheshi ama pia shuleni and so they make themselves heard! What if kuwatania does the opposite, wanajikunja and become invisible?

sasa hapo kasheshe, sijui tuwatanie ndio wagutuke ama mwasemaje jamani!
 

...duh! Kumbe 'hivi' vijamaa ni vihodari katika kuruka sarakasi eeh! na vinachekesha kama Mzee Small au King'wendu!? ha ha hahaa...
 
we mfupi nini!!? mbona unajitetea hata kabla ya kutaniwa?

Hahaaaa......mimi supa-toli (ila sio ki-Hashim Thabeet, si unajua huyo kapitiliza, anatufanya matoli tuwe vi-andunje). Yaani nimepanda juu kama Yesu. Wafupi wakiniongelesha inabidi kashingo kanyooke na kidevu kinyanyuliwe kama 75 degrees. Mfupi inabidi asimame kama mita 10 hivi kwa mbali ili asiteseke kunyanyua shingo.

Mimi nimeuliza tu kama tunapewa ruhusa.
 

Ha ha haaa ufupi nao una faida yake. Je wewe na utolu wako wote huo unaweza tosha chini ya kitanda? Au kwenye ka wadrobe?
 

Shishi,
Sasa unatushauri vipi sisi wafupi? I mean, hebu tuwekee wazi.. tupige buku kwa sana, tuvae vizuri au twende kwenye chuo cha maloveee...nini tufanye ili angalau mambo yetu yawe supa mida yote?
 
Ha ha haaa ufupi nao una faida yake. Je wewe na utolu wako wote huo unaweza tosha chini ya kitanda? Au kwenye ka wadrobe?

msee,
.....urefu mzuri hivi hivi ujanani tu, lakini jua likianza kuzama(uzeeni) inakuwa shughuli!! halafu, urefu na kuwa na kipara inapendeza sana kama mambo yakiwa swaaafi.......imagine supa toli kama Hasheem au mtu mwenye ualaza, halafu anafanyakazi stand ya greyhound kama housekeeper!!!..haipendezi yaani.
Halafu pia Bongo, mademu hawazimii mijitu mirefu utasikia, "nilipeleke wapi mie hilo ngongoti."?? lakini huku 'kiwanjani' urefu dili, club yaani wala utongozi, totoz zinakufungia zenyewe yaani!! LOL

by the way UConn wamefungwa leo kwenye Big East tournament pale Madison Square Garden na West Virginia.....jamaa walimtia Hasheem matatani na fouls mapema, game ilikuwa nzuri anywayz!!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…