TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

sidhani kama kuna ushahidi wa nywele na ufupi, mfano mzuri ni 'andunje' Derrick Coleman keshaga wahi kuwa na afro!! sema nadhani kuna uhusiano kati ya urefu wa mtu na urefu wa 'mguu wa kati'!!

Mzee tukizunguzia hako kamguu itabidi hii thread ikimbizwe kule kwa 'chumbani kwa Brazameni'... Anyway, the myth can also be said for women.
 
...In addition, what height is considered short for men or what is considered short for women? Because if my memory serves me right, TZ was said to be one place that was reported to have shorter people than average. Na kama ni hivyo basi TZ kuna popln kubwa yenye jealousy people!

Wewee Kisura weweee acha hizo. Inategemea unatokea wapi Tanzania. Kuna kaka zetu wa kule mlimani ni wafupi hao, ndio maana wanafanikiwa sana biashara. Dada zao nao wafupi weeee. Sasa wengine tunatoka sehemu fulani kwenye ng'ombe wengi na maji ya kumwaga. Sisi wanaume wa huku na dada wa huko tunaivana sana. Eti wanatusingizia tunawapendana eti sababu kama wana mkorogo. Kumbe wenyewe ndo wanatuzimia kwasababu tumerefukaa weeeee. Yaani wanapenda mbegu ndefu hao!!! Wanaweza hata kukuhonga blanketi badala ya vice versa.
 
Trust me, I love Lake regions for a looootta reasons. As a matter of fact, huwa sichezi mbali na huko!

Lakini face it, it does not change fact that, averagely, TZ has short people!
 
brazameni, mwanakijiji na koba nasikia ni vijeba, ngoja tusubiri maelezo yao!! :)

Mwanakijiji ni 5"2...lol

Halafu kuna siku moja niliuliza urefu wa Mkapa watu wakanikaripia...I guess urefu wake hauzungumziki...dunno!!
 
Shishi,
Sasa unatushauri vipi sisi wafupi? I mean, hebu tuwekee wazi.. tupige buku kwa sana, tuvae vizuri au twende kwenye chuo cha maloveee...nini tufanye ili angalau mambo yetu yawe supa mida yote?

Ushauri wangu ni kuwa do not underestimate your potential(s) coz your are short. even short pple are gd at something, they may be disqualified from basket ball etc kwanza hiyo basket ball team ina wachezaji wangapi, si watano tu?, so not all 'tall' pple can be absorbed into it, but thats not all there is to life. So cha muhimu ni kudevelop your talent, whatever it may be, kama ni biashara ama shule, at the end your success will overshadow your deficiency in height.

ubaya ni kuwa society ina ridicule short pple and so wengi wao wanawezza kuretreat into thier own shadows, we need societal changes, and wazazi pia shd tell their kids that height is not everything, teach their children to love themselves and not be discouraged.
 
972609.gif

....one successful man!!
 
Hahaaaa......mimi supa-toli (ila sio ki-Hashim Thabeet, si unajua huyo kapitiliza, anatufanya matoli tuwe vi-andunje). Yaani nimepanda juu kama Yesu. Wafupi wakiniongelesha inabidi kashingo kanyooke na kidevu kinyanyuliwe kama 75 degrees. Mfupi inabidi asimame kama mita 10 hivi kwa mbali ili asiteseke kunyanyua shingo.

Mimi nimeuliza tu kama tunapewa ruhusa.

We Nzokanhyilu tangu lini 5"1 ikawa super tall...:) au ukishaweka raizoni unaongeza kama 2" hivyo kuwa eligible kujiita super tall!
 
Kwa upande wangu najua ya kwamba wanaume wafupi hupenda kujitoa toa nao waonekane wamo ila hakuna kitu huo utafiti na kubaliana nao kwa asilimia kama 65% kwa upande wangu na 35% kwakua siwajui undani wao ki-haswaaaa, mimi niliwahi kua na mwanamme dizaini hiyo anajishaua huyo!!, ukitoka nae lazima kila mtu ajue kama yule ni mchuchu wako, na kujiona yeye ndio yeye hakuna mwengine atakaeweza kukupata, kwa sifa sasa sikwambii ila wacheshi na wakarimu mno kwenye 6 x 6 mmh!! wanaruka utadhani wanacheza judo mmh!! anaweza kukutia "chongo" hakyanani tena.HAwatulii mchezoni mi siwataki abadani mwenzenu, by the way samahanini sana kama mpo humu ila wanatunzaaaaaaa!!!!!!!! "eka du"
 
Tuache utani jamani mwanamke mrefu ana raha yake vile!!!

Kwa hiyo kwa yule anayehitaji mbegu ya maana ani-PM! tuzungumze (jokes).

Lakini wait, hivi mtu anavyokula na mazingira anayokulia yana uhusiano wowote na maumbile ya mwili kama urefu? Mfano mimi nimekulia kwenye mazingira ya kula samaki, viazi na maziwa (typical village food ya Lake zone)..does it have any correlation na urefu wangu?

Apart from genetics....what else can explain urefu na ufupi wa binadamu! Maana kweli ukikuta mtu mfupi ni mfupi kweli!

Na Ikitokea nikaoa msichana mfupi(mi ni mrefu by any measure and qualification !)...what is the likely height of our child (if we get one)?
 
...Naskia ukijikakamua kucheza Basketball unarefuka, lakini ukinyanyuwa vitu vizito jua gravity nayo inakuvuta kwenda ardhini! sijui ukweli upo wapi hapo!

halafu ukienda milimani (Ashakum si matusi!) Upareni, uluguru nako utawakuta watu wafupi wafupi... sijui ndio mazingira au vyakula? maana waMeru wameenda juu!!!
 
Kwa upande wangu najua ya kwamba wanaume wafupi hupenda kujitoa toa nao waonekane wamo ila hakuna kitu huo utafiti na kubaliana nao kwa asilimia kama 65% kwa upande wangu na 35% kwakua siwajui undani wao ki-haswaaaa, mimi niliwahi kua na mwanamme dizaini hiyo anajishaua huyo!!, ukitoka nae lazima kila mtu ajue kama yule ni mchuchu wako, na kujiona yeye ndio yeye hakuna mwengine atakaeweza kukupata, kwa sifa sasa sikwambii ila wacheshi na wakarimu mno kwenye 6 x 6 mmh!! wanaruka utadhani wanacheza judo mmh!! anaweza kukutia "chongo" hakyanani tena.HAwatulii mchezoni mi siwataki abadani mwenzenu, by the way samahanini sana kama mpo humu ila wanatunzaaaaaaa!!!!!!!! "eka du"

LOL! Malisak!....:) Judo kwenye uwanja wa Wembley wapi na wapi....:)
 
Tuache utani jamani mwanamke mrefu ana raha yake vile!!!

Kwa hiyo kwa yule anayehitaji mbegu ya maana ani-PM! tuzungumze (jokes).

Lakini wait, hivi mtu anavyokula na mazingira anayokulia yana uhusiano wowote na maumbile ya mwili kama urefu? Mfano mimi nimekulia kwenye mazingira ya kula samaki, viazi na maziwa (typical village food ya Lake zone)..does it have any correlation na urefu wangu?

Apart from genetics....what else can explain urefu na ufupi wa binadamu! Maana kweli ukikuta mtu mfupi ni mfupi kweli!

Na Ikitokea nikaoa msichana mfupi(mi ni mrefu by any measure and qualification !)...what is the likely height of our child (if we get one)?

Ukiondoa genetics, kunywa maziwa kwa wingi pia kunachangia urefu. Ndio maana ndugu zetu Wamasai wamekunjuka mno.

Kujihusisha na michezo ya kurukaruka pia kunachangia kuongeza urefu. Unaporuka huwa una stretch mifupa na muscles, hence more room ya ku-grow high. Ndio maana michezo kama basketball na volleyball inachangia sana katika uongezekaji wa kimo.

For obvious reasons, teenages ndio kipindi ambacho mtu ana nafasi kubwa ya kurefuka. Lakini huwa kuna nafasi ya kurefuka mpaka umri wa miaka 24 (approx.). Baada ya hapo, sahau.
 
Hawa vijeba cio kwamba ndo wana jua kupenda la hasha anajua akimwagwa itamchukua mda kupata totoz nyingine ndo maana utakuta anaonesha upendo wa dhati.STEVE jaribu kuchunguza kwa karibu utakuta mme wa aina hiyo anapelekwa na mmke aliye naye thats what i recognized.
 
Siamini wanachosema, pamoja na kwamba mimi sio mfupi. hii mada naiona kama yakuwadharirisha watu wafupi. wao hawakupenda kuwa wafupi. ninao marafiki zangu wengi tu ambao ni wafupi. it's true, wako very successful, na wameoa wanawake ambao ni wafupi kama wao, na maisha yanaendelea. sasa, kwetu sisi tunaodai ni warefu, wakati hatuna kitu, urefu unatusaidia nini?

Wengine wanasema ati ukiwa mrefu wanawake wanakupapatikia, so what? wakupapatikia, wasikupapatikia, lazima tu utakuwa uoe mwanamke wa kwako na watakoma kukupapatikia. unachotakiwa kufikiri kichwani, sio urefu au ufupi wa wenzako, ni namna ya maisha yako yatakavyokuwa mazuri. tukianza kuwasema watu wafupi, tutamaliza hapo tutaanza watu wembambaaaaaa kama fito, hasa wanawake ambao ukimpiga ngumi ya mgongo anaweza hata kuvunjika. haya, wengine warefu na wembamba kama hawajawai kula, wengine warefu halafu waneneeee kiasi kwamba wanakuwa kama wanaboa.

Wengine ni warefu na wazuri wa sura, lakini hawana kitu mfukoni. wengine ni wafupi na hawana kitu vilevile, wengine wafupi na wembamba na hawana kitu, wengine weusi mmno, wengine sura kama za kiboko/hippo, wengine vile na vile. yote haya hayana faida.

Hii ndo imesababisha watu kujidai kwa namna Mungu aliyowaumba. ikafika kipindi watu wakaanza kuwadharau waasia, hasa wa china,Japan na india. kwasababu ni wafupi na wana miili midogo, watu wakawahukumu kwa kuwadharirisha kuwa wana maumile ya uzazi madogo, hasa wale wanaume. wakasema kuwa, watu weusi ndo wenye madudu makubwa kuliko wote wakifuatiwa na wazungu na watu wa mwisho ni waasia.

sasa hii haina maana yoyote. ni kweli watu weusi tuko hivyo, ndo maana kila kitu kwetu ni kikubwa. makali makubwa, midomo mikubwa kuliko wazungu, yaani miili yetu Mungu katuuma mikubwamikubwa na manundumanundu kuliko wazungu. lakini mbona bado tuko nyuma sana?ukubwa wetu huu unaotufanya tupendwe na wanawake walio wengi zaidi duniani, unatusaidia nini?

Kwani duniani kazi ni hiyo ya kitandani tu? maisha si zaidi ya hapo? sasa ona wachina wanavyopaa uchumi. kama wao wana miili midogo, wataowa wenye miili midogo wenzao, kama wana maumbile madogo, watatafuta wenye kufanana nao. sisi wenye miili mikubwa inatuhusu nini?. hata hapa tz.

Kama wewe unaona mtu mfupi anakuwa na wivu kwa mke wake, si wake?wewe unammendea nini? au unamfukuziaga mke wake ukaona jamaa mda wote anapiga jicho kwa mke wake? alieandika hii article kwenye gazeti, hana akili. na ana mtindio wa ubongo. tuwaheshimu watu wengine, tusiweke mada zitakazokuwa zinawaumiza wenzetu mioyo. wengine hapa tuna marafiki wengi wafupi, hata ndugu wengi wafupi. kwaheri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom