Tafiti:Nguo za ndani zinachangia Ugumba..

Tafiti:Nguo za ndani zinachangia Ugumba..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Nguo za ndani jamani zinachangia Kuleta Ugumba.
1.Ni zile za nailoni.
2.Na kubana wanazovaa wanaume.
Source:Gazeti la Mwananchi.
 
Nawashangaa wanaume wanaovaa chupi mpaka leo,me ni mapu-mbu upepo bana,nshaacha siku nyingi,zinasumbua hata kwenye gemu la kwenye parking au fasta

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Dah...! Kila kitu kinapunguza nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom