Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Zilijitahidi lkn ilibidi kuwa tunachimba dawa mara kwa mara ili kuruhusu ipoe la sivyo inge pasua Engine!
Ñdo maana wenye passo, IST na funcargo , Rush walikuwa wanachimba dawa Sana nankuongeza maji kila mda
 
Usiombe kusafir gari moja (private) na mzee alaf awe msomi, dar utatoka asubuhi na kaskazini sio chini ya saa 2 usiku utafika. Ukihoji kwanini speed ndogo atakujibu huna akili wewe hujui alama za barabarani, sababu wewe ni mwendesha pikiki, ukimuulize mzee mbona chuma nikizito nataka nisikie hizi pistons kama ndio zimekuja na gari au ulikwisha badilisha, akaniambia bebi woka zenu mnazipenda mnataka mkimbizane na vyuma vizito kama hivi ndio maana ajali nyingi.. Na hapo ndio mwisho wangu wa safari na wezee
 
usilolijua ni kama kiza kinene
 
A very good observation!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…