damian marijani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2010
- 695
- 465
Heshima kwenu wakuu,
Leo nawaletea tafiti zilizofanywa katika nchi mbali mbali zinazohusiana na wastani wa urefu wa uume hapa duniani.
Sudan imeshika nafasi ya 10 ikiwa na wastani wa inches 6.4,ikifuatiwa na nchi Hungary ikiwa na wastani wa 6.5".
Namba 8 inashikiliwa na Bolivia na wastani wa 6.51".
Namba 7 ni wanaume wa Cameroun wakiwa na wastani wa 6.57",
namba 6 imeshikiliwa na Lebanon kwa wastani wa 6.6".
Tunarudi tena Amerika kusini ambapo namba 5 inashikiliwa na Venezuela 6.67" ikifuatwa na Columbia walio na wastani wa 6.71".
Tatu bora zipo Ghana inayoshika nafasi ya 3 wakiwa na wastani wa 6.8,
Equuador inashikilia nafasi ya pili ikifikia wastani wa inch 7.
Mabingwa wa haya maumbile si wengine bali ni Congo DRC wakiwapiku Equador kwa wastani wa 7.1"
Kwa msimamo huu Africa na America kusini ina nchi 4 kila moja wakati bara la Asia wakitoka na sifuri.