habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Mpaka lini watu wanaangamiaWakati wa kusema sio sasa
Mpaka lini watu wanaangamiaWakati wa kusema sio sasa
Wanayaogopa maandamano kuliko kipindupindu
Bila ya hawa ambao wewe unawaita wavuta bange, haki zetu nyingi zitavunjwa na tutacharazwa viboko hazarani. Bila ya hawa tusingepata fedha za rada, bila ya hawa Escrow, RichMond, green finance,........ Nk nk visingejulikana na tungeliwa mpaka damu yetu. Hawa ndio wanaowatetea wakulima, wavuvi, wafanyakazi, wafanya biashara nk nk. Hii haina maana chama tawala CCM ni kibaya la hasha. Bali madaraka yanalevya mno bila ya kuwa na chama angalizi wakulima wataumizwa, wafanyakazi watateswa, wafanya biashara watatozwa kodi isio stahili yao, raia tutaswagwa bila kujua tunakopelekwa nk nk. Vyama hivi pinzani hutumia muda wao mwingi vikifanya tafiti, uchunguzi, ushauri na kutoa madokezo penye hatari. Mfano mzuri ni hivi karibuni mh Heche amesema bungeni ana ushahidi mh Rais kadanganywa kwenye suala la e-passport. Bila ya Heche yasingejulikana.Ulevi, tena wa bangi iliyokwisha muda wake ndio utawapeleka watu huko barabarani. Nimemuona yule dogo wa Chuo alivyorojeka sababu ya mitihani anayopitia...I was asking myself...does it worth it?
.Bila ya hawa ambao wewe unawaita wavuta bange, haki zetu nyingi zitavunjwa na tutacharazwa viboko hazarani. Bila ya hawa tusingepata fedha za rada, bila ya hawa Escrow, RichMond, green finance,........ Nk nk visingejulikana na tungeliwa mpaka damu yetu. Hawa ndio wanaowatetea wakulima, wavuvi, wafanyakazi, wafanya biashara nk nk. Hii haina maana chama tawala CCM ni kibaya la hasha. Bali madaraka yanalevya mno bila ya kuwa na chama angalizi wakulima wataumizwa, wafanyakazi watateswa, wafanya biashara watatozwa kodi isio stahili yao, raia tutaswagwa bila kujua tunakopelekwa nk nk. Vyama hivi pinzani hutumia muda wao mwingi vikifanya tafiti, uchunguzi, ushauri na kutoa madokezo penye hatari. Mfano mzuri ni hivi karibuni mh Heche amesema bungeni ana ushahidi mh Rais kadanganywa kwenye suala la e-passport. Bila ya Heche yasingejulikana.
Japo kwa hali ilivyo navishauri vyama hivi VISIANDAMANE kwa sababu hali haitabiriki.
WASIANDAMANE kwa sababu mwisho wake ni makovu ambayo kuyaponya ni ngumu.
Broo shikamooo nimeachiwa toka lupango muda sio mrefuHawa sio wale
Jukwaa la siasa kuna baadhi hatutakiwi kucoment kulePole Popoma nini mbaya!?
OK,,,,,nimekupata broo kumbe tatzo ni hilo sawa niwe mpole tuMdogo mdogo... Kuelekea sikukuu anga haliko shwari sana
Mpaka watakapo pata maalifaMpaka lini watu wanaangamia