Tafakuri ya wasanii juu ya wabunge 19 wa CHADEMA

Hii katuni imedizainiwa na kinya wa mistari nini mana naye ni fundi wa kuchora?
Kwangu mimi huyu mshikaji ni fundi wa vyoote yaani kuchora na kuibua wazo
 
Kwangu mimi huyu mshikaji ni fundi wa vyoote yaani kuchora na kuibua wazo
Huyu mwamba ni underrated rapper anakuambia kwenye takwimu pekee ndio unapopanda uchumi

Moja ya mistari yake

Mpaka wanyama pori wanatoroshwa wakiwa hai, ukiendelea kulala watatoroshwa mpaka wamasai.../

Mwanajeshi pigania haki na sio maslahi, maana wanyonge tunanyongwa na wanaonyonga tai.../

Hii ni sauti ya geto, inayokuomba mwanajeshi uoneshe uwezo.../

Japo sio rahisi kufanya mwenyewe ka nyeto, ila okoa taifa lako kwa ulicho kipata depo.../

KMwanajeshi amka unasema unatulinda wakati nchi inauzwa"
 
Yupo njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…